Aaaaah niko biz mwanngu wee qcha tu apa roho inaniuma kinoma mpunga unanipita ivi ivi
Pigabet wanafananaJaman mbadala wa 1xbet ni nn?
Karibu jfJamani kwenye 1x sioni kampuni za malipo kama tigo voda zote azipo kuna nn nijuzwe
Hebu nisaidie sioni OPTION za Tigo PESA wala m PESA kwenye 1xbet sioni kbsaa mkuu hebu nisaidieWewe kweli proffesor uchwara kweli, heeee!! Yaaani nmecheka!! Wenzio tuna siku 3 tunauguza hapa wewe hujui?
Karibu tena Jf kiongozi... Hizo option zimeondolewa kwa mudaHebu nisaidie sioni OPTION za Tigo PESA wala m PESA kwenye 1xbet sioni kbsaa mkuu hebu nisaidie
Hebu nisaidie sioni OPTION za Tigo PESA wala m PESA kwenye 1xbet sioni kbsaa mkuu hebu nisaidie
Dahhh aIsee Ngoja nirudi Meridian kwa sasaKaribu tena Jf kiongozi... Hizo option zimeondolewa kwa muda
Walishazitoa mzee baba, mimi hapa naangalia mechi tu staki kubeti kampun za kibongoHebu nisaidie sioni OPTION za Tigo PESA wala m PESA kwenye 1xbet sioni kbsaa mkuu hebu nisaidie
Iko vizuri,haina tax pia ukibet unapata bonus.Nasubiri ujibiwe 1xbet wameturoga sana. Nimeuliza betpawa vip waliotumia?
HahahaaaROMA ANAWATAKIA KILA LA HERI
Mkuu kizuri hakiuliziwi utakiona tu wadau wanakishauri..pumzika au fanya michakato upate master card uhamie online.Nasubiri ujibiwe 1xbet wameturoga sana. Nimeuliza betpawa vip waliotumia?
Mkuu madrid ×(Double)chance kapita na 30K yang,nikaweka 20 tena nikamuweka Roma Win Or Draw yaan,mmh.Hahahaaa
Kumbe sometimes Una akili mkuu.....achaga bhna hzo mambo my self man u ningempa ashnde tu hyo ova 2.5 kutoka tia maji tia majiNaona Game ya Man U vs Crystal Palace inatoa Over 2.5
Pole sana mkuu ila madrid muepuke sana kipindi hiki ushindi wake ni wa kulenga kwa manati Roma nae simuwekagi kabisa nishampiga ban kitambo sanaMkuu madrid ×(Double)chance kapita na 30K yang,nikaweka 20 tena nikamuweka Roma Win Or Draw yaan,mmh.