Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu hii process ya kudepost/withdraw through skrill naona iko poa sana japo sijaitest but ada yao wanachaji ndogo sana 1% tena upande wa kudepost ikiwa na maana kwamba ukidepost $50 ada take hata tshs 1500 haifiki!. But sijajua kwenye kudepost pale pesa inapotoka kwenye credit card kampuni ya benk husika hawakatati na wao kodi?
Hii pia lazima master Card iwe ime activatiwa
 
Wadau naomba kujua kuhusu hawa wauza odds wakidai kwamba ni fixed match. Je wana ukweli wowote?
 
Ela ya chai kwa waliofuata ili jamvi BET WOOOOOON!!!
Screenshot_20181125-084730.jpg
 
Hakuna app za betting za kise*nge kama za bongo,especial sportpesa...yaan zilivyo slow,not user friend..inplay ni imposibo kabsaa..app ina load mwanzomwisho,najuta
Sportpesa in play ni tatizo kubwa full kustak
 
1. Nimekwenda kufungua akaunti equity kama wadau walivyoshauri ili kwenda sambamba na 1x

2. Yule andazi niliyemkuta nilimweleza kabisa airuhusu kadi kutumika kwenye mtandao akaniambia hii ni moja kwa moja kadi yetu inakubali huduma zote za e payment

3. Nilishugulikiwa tuu muda mchache nikawa nimeondoka

4. Tangu asubuhi kila nikijaribu kulipa inakwenda mpaka mwisho lakini ninapata ujumbe kuwa rejected wrong card number

5. Ninachohisi hakunielewa na hakuruhusu kadi hiyo na kesho namshona tena
Vip ulifanikiwa mkuu
 
Daaaah majamaa hawataki kuelewa kuwa direct win haifai yani ile opt haifai ata iwe na odss 1.0000 bado ni kizungumkuti jaman member wenzangu em tubadirike mazee tuachane na hii opt ni ngumu kutoboa hasa kwa wale wanaobetia matimu kibao kwenye mkeka mmoja haifai mazee japo wapo wachache wanaotoboa na hii opt
Mkuu mazoea mabaya direct win Kwa kweli inaharibu.mitaji
 
Back
Top Bottom