Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
Mkuu zitarudi tu usihofu, ngoja kuna siku huwa naleta 99% percent winning.Tatizo boss unabeti mwenyewe tu bado nina maumivu ya jana ya kupigwa 500K na kabuku nikakaweka kichwa kichwa kakaendaaa mikeka yako ipost kabla haijatiki
tehateha nimecheka kithunkuSevilla naona katulia tuli, tehtehteh
We jamaa last wekeend ulkua una lia lia kuhusu Napoli ali kukula jicho nn sasa hivi unaona mambo sio mambo relax mkuu betting haija anza leo huwezi kufanya lolote lile kaaa tuliza mbupu izontapiga vita kazi hii ya shetani mpaka labda mod waniblock!!
Hakuna, cha kufanya jirekodi kwenye simu yako kisha attach hilo file humu tutadownload na kusikiliza ulichoongea boss kazi!Wakuu ivi hii JF haina option ya kurekodi sauti kama watsap kisha niitume umu ili kila mdau aweze kuupata mchango wangu na ushauri wangu kuhusu swala la handcap za basketball maana kwa kuandika asee maneno ni mengi yaaani maelezo ni mengi na kila siku naona uvivu kuandika je hakuna anayejua iyo njia ili niweze kusambaza upendo kwa wana wote twende sawa katika handcap
Lete vitu twende sawaOya wakuk mmelala nini umu ndani
Lete mambo tuko machoOya wakuk mmelala nini umu ndani
Thanks mkuu nmepata ya supu, nmeifata sema nilimtoa -3.5 wa nymbni.Aaaaah gemu hamna sema ngoja tulazimishe hiii moja iliyopo
In play iyo iwahi ukikuta odds zimebadirika wee mpe uyo uyo jamaa ashinde y.kwa option yoyote itajayokuwepoView attachment 950967
Sawa mwambaHakuna, cha kufanya jirkodi kwenye simu yako kisha attach hilo file humu tutadownload na kusikiliza ulichoongea boss kazi!
Nmeikuta na odds ya 1.35Em tumpe tena uyo uyo in play iwahi iyoView attachment 950970
leo nipo macho mida ya wanga hii, usiache kutupia kazi sasa maana deile unanisemaga nalala mkuu hahahahSawa mwamba
Tumemnyoosha tena mrusiEm tumpe tena uyo uyo in play iwahi iyoView attachment 950970
mkuu nimepata ya supu aisee, kazi imeenda poaEm tumpe tena uyo uyo in play iwahi iyoView attachment 950970
hahahahah boss kazi nakubaliWaliofata iyo ni ya supu asubuhi. BET WOOOON!!!View attachment 950969