Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna ambaye amefanikiwa kutoa hela 1xbet kwa njia ya nmb wadau!! Au kuna uzinguaji
 
Finnally huduma ya online purchase kwa NMB imekubali!! Nimeshatia mpunga 1xbet sasa twendeni pamoja
 
Kumbe ukiwezesha card malipo ya mtandao haimanishi utaweza kupokea malipo ukihitaji kupokea malipo mpka uende Tena kwenye branch iliyokaribu nawe Kuna fomu utajaza ila haitakuwa na usumbufu km wa mwanzo,hayo ndo maelezo niliyopewa na crdb maana 1xbet walisema niulize bank niliyotumia
 
Asante kwa taarifa, tutafuata tu maelekezo tu hata waseme twende makao makuu ya 1xbet[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwa hiyo nikienda ku i activate card yangu kufanya huduma za mtandaoni na pia niwaambie wai activate iweze kupokea fedha pia au sio....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…