Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tatizo la basket ni mchezo unaobadilika kwa kasi ya ajabu ni rahisi kula na ni rahisi kuliwa.. usipokuwa makini mtaji unakatika fasta
Unatakiwa ubet kistaarab mkuu, ila ukiwa unaenda umetanguliza tamaa ya kupiga nyingi untakamuliwaje mpk uombe poo[emoji3][emoji3]
 
Tatizo la basket ni mchezo unaobadilika kwa kasi ya ajabu ni rahisi kula na ni rahisi kuliwa.. usipokuwa makini mtaji unakatika fasta
Sema ukizipatia ni rahisi kutengeneza laki laki kwa mda mfupi
 
Chagua zinazokutosha hapo ,pia yenye wasiwasi itapendeza ukicheza DC
Screenshot_20181130-100123.jpg
Screenshot_20181130-100250.jpg
Screenshot_20181130-100304.jpg
Screenshot_20181130-100314.jpg
Screenshot_20181130-100324.jpg
Screenshot_20181130-100332.jpg



NB: usiangalie odds maana utazimia[emoji2] [emoji2]
 
Mwenye liki ya mcheza bet tafadhali anisaidie,nataka niwachungulie jmn kwa maandalizi ya weekend.
 
Kwenye tennis ya kawaida kama upo vizur nilipenda kujua muda kwa set moja maana huwa sielewi unaweza kuta set ya kwanza inachezwa kwa hata lisaa lizima halafu set ya pili inachezwa labda kwa dk 44 tu huwa zinanichanganya sana nikijaribu kuzifuatilia, kama upo vizur mkuu na kwenye tennis nieleweshe kwa set muda wao ukoje?
umeivaa mzee
 
Back
Top Bottom