Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahaha...Mkuu, hapo unaweza usiende hata job[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji119] ukawa na kiburi[emoji2] [emoji119]

Unaweza kumjibu kwa Madaha Bosi[emoji119]
 
Aa[emoji16]aaaaaashida ya izi mambo unaweza ukala ata kwa mwezi mzima alafu zikaja kuchukuliza zote na bwana vladimir kwa siku moja ndani ya siku moja tena ndani ya lisaa limoja ,ndani ya dakika moja bili kuzidi sekunde moja zote anazichukua na kuzirudisha kwenye acc yake[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16][emoji23]
 
Hahahaha...Noma sana Mzee.
 
Mzee dingi fanya mafekechee na hiyo audio tupate maujanja na sisi tuingie mgodin tupambane na mawe ya chuma cha pua Mrusi.
Aa[emoji16]aaaaaashida ya izi mambo unaweza ukala ata kwa mwezi mzima alafu zikaja kuchukuliza zote na bwana vladimir kwa siku moja ndani ya siku moja tena ndani ya lisaa limoja ,ndani ya dakika moja bili kuzidi sekunde moja zote anazichukua na kuzirudisha kwenye acc yake[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16][emoji23]
 
Kwenye tennis ya kawaida kama upo vizur nilipenda kujua muda kwa set moja maana huwa sielewi unaweza kuta set ya kwanza inachezwa kwa hata lisaa lizima halafu set ya pili inachezwa labda kwa dk 44 tu huwa zinanichanganya sana nikijaribu kuzifuatilia, kama upo vizur mkuu na kwenye tennis nieleweshe kwa set muda wao ukoje?
TENNIS HAINA MDA MAALUM SABABU NI HII

TENNIS NI MCHEZO WA SET

SET YA TENNIS HUISHA PALE MMOJA KAT YA WASHINDANI ANAPOFIKA POINT YA 6 mfano 6-3 au 4-6 set hutofautiana mda pale point zinapokua zinapishana.

mshindi wa set hupatikana baada ya alomtangulia mwenzake kufika 6 kumuacha mpinzani kwa range ya 2+ set haiishi kama anaengoza kumuacha mwenzie kwa range ya 1 mfano 6-5 5-6 hivo set hii huzid point 6 na huisha pale tu range ya mbil ikitokea mfano 9-7
 
Shukrani mkuu nimekupata vyema.
 
Bet365 wanasema hii huduma haipatikani kwa Tanzania, ndiyo maana hata website haifunguki. Na hata account yao ya Instagram haionekani katika nchi ya Tanzania
Screenshot_20181130-125144.jpeg
 
Kuhusu NMB kuruhusu malipo inawezekana mbali na ushahidi huu, mimi nimefanikiwa
IMG_20181130_130309.jpeg
 
Ambae anaweza kufanya transfer ya pesa kwenye akaunti yangu ya 1xbet naomba tusaidiane.
 
Mkuu nipe elimu kidogo namna yakumtusua kanji kwenye ice hockey
ice hockey ina vipind vitatu vyenye dk 20 hivo kufanya game zima kuwa na 60mnts

option nzur kucheza ni over n under

vizur zaid kucheza inplay hasa game ambazo kipind cha kwanza zilienda bila bila

ukiona kipind cha kwanza wamepigana sana weka under ya point kubwa mfano under 8

ukiona kipind cha kwanza wamepigana kidogo au hawaja score weka over ya point ndogo mfano over 3.5

RUSSIA TEAMS WATAALAM MNO NA WAKO POA KWENYE OVER
 
Back
Top Bottom