Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Please Naomba kuelekezwa namna ya kudeposit pesa kwenye akaunti yangu ya 1xbet. Nisaidieni jamani hatua kwa hatua maana naona napitwa na mpunga
 
Please Naomba kuelekezwa namna ya kudeposit pesa kwenye akaunti yangu ya 1xbet. Nisaidieni jamani hatua kwa hatua maana naona napitwa na mpunga

Mwanzo hizi huduma zilikuwepo, lakini ziliondolewa kwa sababu eti zinafanyiwa maboresho,
Yapata sasa wiki 2½.

Anyway, alternative iliyopo ni malipo kwa njia ya benk.
Nenda benk yoyote kati ya hizi BANK ABC,CRDB BANK, NMB, na NBC.

Nenda kafungue account ya derbits card yaani (VisaCard au MasterCard).
Waambie watoa huduma kwamba, unahitaji card ya VisaCard au MasterCard kwaajili ya online transaction na waiactivet kwaajili ya kazi hiyo.

Gharama kwa kuchukua kadi ya MasterCard au VisaCard ni Tsh.20,000/- ambazo utazitoa kuwezashwa kupatikana kwa kadi hiyo.
Maelezo mengine utapewa utakapoenda benk kwani huko utajaza fomu, (utapewa fomu ya kujaza)

Vitu vya kuzingatia:-

√Barua kutoka kwa mwenyekiti wa mtaa/kijiji.(kwa baadhi ya benk kama CRDB,NMB)
√Kitambulisho cha Taifa, mpiga kura,leseni ya udereva na passport.
√Fedha ya kuweka kwenye account yako ya VisaCard au MasterCard yako.

N.B
Kwa baadhi ya benk kama NMB,kadi utapewa baada ya siku 10-15 baada ya kufungua account.

Uliza kingine mzee baba.
 
Nimefungua leo MasterCard lakini bado sijafaham kudeposit amount kwenda 1xbet naomba msaada please.
 
Nimefungua leo MasterCard lakini bado sijafaham kudeposit amount kwenda 1xbet naomba msaada please.
Kama account yako iko active kwa kila idara na umeweka pesa huko basi.
Ingia 1xbet iwe ni application au web version
★Bofya sehemu iliyoandikwa,'TOP UP ACCOUNT' pale juu
★Ikifunguka, bofya sehemu ya VisaCard.
★Jaza kiasi cha pesa, na email yako kisha submit.
★Itafungua,jaza namba ya kadi,CVV hizi ni namba 3 nyuma ya kadi, expire date, kisha submit.
Screenshot_20181130-165935.jpeg
Screenshot_20181130-170040.jpeg
Screenshot_20181130-170047.jpeg
Screenshot_20181130-170126.jpeg
Screenshot_20181130-170132.jpeg
 
Kama account yako iko active kwa kila idara na umeweka pesa huko basi.
Ingia 1xbet iwe ni application au web version
★Bofya sehemu iliyoandikwa,'TOP UP ACCOUNT' pale juu
★Ikifunguka, bofya sehemu ya VisaCard.
★Jaza kiasi cha pesa, na email yako kisha submit.
★Itafungua,jaza namba ya kadi,CVV hizi ni namba 3 nyuma ya kadi, expire date, kisha submit.View attachment 951601View attachment 951603View attachment 951604View attachment 951605View attachment 951606
Shukrani mkuu
 
Tunaendelea kujifunza handball kama hivi.
 
Attachments

  • IMG_20181130_181303_668.jpg
    IMG_20181130_181303_668.jpg
    28.6 KB · Views: 38
Naomba tofauti hapo.. Ila naona moja inausisha muda wa nyongeza wakati nyingine haina.. Je ndo tofauti pekee au kuna nyingine! Na muda wa nyongeza ni dakika ngapi?
IMG_20181130_181955.jpeg
 
Hiyo ambayo haina OT ikiisha droo kama ulitabiri ushindi unakiwa umepigwa ila yenye overtime inaenda mpaka muda wa nyongeza na odds zake zinapungua kidogo...hiyo ndio tofauti pekee
 
Mkuu naomba elimu ya table teniss
table tennis ni mchezo ambao kwa kawaida una set nne ila game inaeza isha baada ya set 3 au 4 mara nyingine 5

game inayoishia set tatu ni ile ambayo mmoja kat ya players ana win set 3-0 au ana loose set 0-3 hii huja baada ya mtu kuwin au kuloose set 3 mfululizo

Game yenye mwisho set nne matokeo yake ni 3-1 au 1-3

Game yenye mwisho set 5 ni ile inayotoa 2-2 baada ya set nne hivo huwekwa set ya 5 ili kupata mshind ingekua basket tungesema overtime

set moja huisha baada ya mmoja kat ya washindan kutoa point 11 na kumuacha mwenzie kwa range ya 2+ mfano 11-9 au 8-11 mmoja akitangulia kufika point 11 na kumuacha mwenzie kwa range ya 1 mfano 11-10 set haiishi mpaka mmoja amtangulie mwenzie kwa range ya 2

the best way to stake ni kwenye over under na hasa under 19 kwa wale wa inplay amin amin set kutoa over 19 ni msala

na kuna over under ya total game hujumlisha point za set zote

ni tam kucheza inplay coz huchukua mda mchache sana kwa set
 
Huu mchezo ulinipelekaga umiseta aisee
 
Back
Top Bottom