Hvi amana bank wana visaNimefungua leo MasterCard lakini bado sijafaham kudeposit amount kwenda 1xbet naomba msaada please.
Hvi amana bank wana visaNimefungua leo MasterCard lakini bado sijafaham kudeposit amount kwenda 1xbet naomba msaada please.
kiongozi umetema madini ya kimkakati zaidi big up on it, nakupa good critical na like za kutosha.Mkuu nimekusoma ila nadhani tunahitaji strategy katika betting! Kuwe na ukomo kila siku na fixed stake! Ukianza kucheza kila bet na stake yake kuna chance kubwa sana ya kuingia hasara ukaunguza account! hii kama biashara zingine lazima tuwe na kanuni za kuifanya kiakili!
Money risk management strategy lazima izingatiwe, mfano kuwa na fixed stake ex: 20k ina maana ukiwa na laki una uhuru wa kucheza games nyingi ila limit ya loss za mfululizo ni game 5! Huwezi poteza hela nyingi maana rate ya ku loose ni ndogo kuliko win ina maana ukifungua na laki ukachezesha michezo 10 katika yote ukapoteza 2 ina maana una faida ya michezo 8, na opening balance inakuwa imebaki 80!
Uki implement strategy nzuri unaweza ku keep profit through consistency of winning bets! Ingawa loss pia zipo tu!
mimi nimeshadeposit 5001000 tzs
mtam kwel mwenyee shulen kwetu ulikuwepoHuu mchezo ulinipelekaga umiseta aisee
Sikwenda mkuu, majukumu ya kazi yalinitinga, kexho nikipata time ntaenda au jpili ntakuepo freevp ulienda crdb?
ok sawaSikwenda mkuu, majukumu ya kazi yalinitinga, kexho nikipata time ntaenda au jpili ntakuepo free
Hahah ni mori tu mkuu, tufate taratibu tutafanikiwa!kiongozi umetema madini ya kimkakati zaidi big up on it, nakupa good critical na like za kutosha.
Wee ni ***** sana
Aisee mna shida gani nyie watu? shida mambo madogo madogo mnayakomalia mno***** ni ww mnduku ww! Gundi ya karatasi imekujaa sana.
Sent from my SM-G928T using JamiiForums mobile app
Kwa crdb muhim ni kitambulisho chako cha uraia/kura/passport ya kusafiria usisahau kuenda na picha mbili za passport size na fedha 20000. Kadi unaipata siku hiyo hiyo.mkuu kmtayari unazo hizo account NMB, CRDB kunahaja ya kwenda na hizo passport na barua ya mwenyekiti?
Aisee mna shida gani nyie watu? shida mambo madogo madogo mnayakomalia mno
Boca junior wazee wakuzipigaHawa jamaa ni kama vile wanajuana yaan ni mahasimu wakubwa kama mashabiki wa river plate na bocca juniors[emoji38][emoji38][emoji38]
Boca junior wazee wakuzipiga
Mi nadepost hata 4001000 tzs
Yani hii ni namba moja, kwa ushirikiano mzee baba cjapata ona popote, Ila hapahapa tuHUU uzi ukiufatilia kwa makini kwa siku huondoki patupu, oy pamoja sanaaaa wapambanaji moja ya uzi wenye ushirikiano sanaaaa tunastahili TUZO jamii forums waliangalie hili