Kazetela
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 1,718
- 1,660
Kama unazo hizo account cha msingi nenda na kitambulisho ama leseni tu kama tahadhari wakati wa kuactivet cardmkuu kmtayari unazo hizo account NMB, CRDB kunahaja ya kwenda na hizo passport na barua ya mwenyekiti?