Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau, Kuna option ya over 24.5 goals na over 69.5 corners kwenye games 10 premier league jumamosi. Odds Ni 51,,chungulia 1xbet. Hii kitu inawezekana?

yaani hapo ni wastani wa goal 3 na kona saba kwnye kila game...magoli yanawezekana ila corner sijajua...jaribu kwa 5000...sio buku maana ikitiki utajutia kuweka buku
 
ni ya kibongo na kwenye betting online hawana hata miezi sita, walikuwaga na maduka tu ya kubeti, online betting wameanzisha juzi tu hapa
 
Oya wakuu mbona inanikatalia kuweka ili file la audio kila nikilichagua haikubali kuliupload sasa tatizo itakuwa nini audio nishaiandaa bado tu kuiupload apa mwenye ujuzi zaidi anisaidie wazee
 
Inaandikaje mkuu inapogoma?
Nikiupload inakuwa haitaki yan hifanyi chochote inakaa tu lile file nililochagua haliji uku JF linabaki kule kule kwenye internal memory iyo ndo shida mkuu
 
Nikiupload inakuwa haitaki yan hifanyi chochote inakaa tu lile file nililochagua haliji uku JF linabaki kule kule kwenye internal memory iyo ndo shida mkuu
ni audio ya nini boss ili kama inaumuhim tuone namna ya kurahisisha mchakato kwa njia nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…