Kandu88
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 742
- 840
Agonge tu kwa episode sio mbaya japo tunampa kazi lakin ajitahid hvyohvyo hata kwa kusummurize zile key points tu.
Ikishindikana Andika tuu Mkuu hata kwa vipande vipande sasa hv unatoa kipande cha kwanza, baadae mchana unatoa cha pili, hvyo hivyo mpaka vinaisha yani taratibutaratibu mambo yatajipa