Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ngoma ipo Hv! Kwanza kabisa tufanye kila mtu anaijua Option ya Handcap inamaanisha nn! Kama Kuna wasioijua basi somo lake linakuja kivyake vyake ili tuelewane zaidi! Mr Ankai Amesema kuna vitu 6 anavizingatia kwenye kubeti Handicap za kwenye Basketball!
1. Anabeti kwa Quarter na sio full time! Handicap ya Full time Lolote laweza kutokea maana mchezo unabadilika kila saa ila Quarter ina dakika 10 tuu au 12 kwa mechi za NBA na Ligi zingine kubwa! Kwahyo Anapiga kwa Quarter na anashauri Tubeti kuanzia Quarter ya pili na sio ya kwanza coz Quarter ya kwanza Timu zote 2 zinakuwa na nguvu kubwa hvyo lolote laweza kutokea kwahyo cha Muhimu Ni kuangalia Score board yaani ubao wa matokeo Timu inayoongoza basi ina uwezekano mkubwa wa kushinda
2. Score Difference yaani tofauti ya Magoli (points) Tofauti ya points ndo itakuongoza Timu ipi ipo vizuri na ipi ipo vibaya
3. Uwezo wa Timu! Hapa unatakiwa kuangalia uwezo wa timu kwenye kufunga na kuzuia Magoli hapo utapata mwanga yupi wa kumpa Hii inapendeza zaidi ukiangalia kupitia live video 1x bet mara nyingi wanaonesha kwahyo utagundua uwezo wa timu!
4. Kuweni makini kwenye kuchagua Full time na Quarter wengi wanachanganya hapa! Hakikisha unachagua Quarter ndio rahisi, Full time ni hatari kwa afya Coz unaweza ukachagua timu ukaitolea points 2.5 halafu muda huo wapo Quarter ya 2 matokeo 49-51 sasa hapo mpaka Game inaisha lolote laweza kutokea ikiweko Kupigwa na Mrusi Hvyo tuwe Makini kwenye Quarter
5.Usiogope Kuliwa ! Kuliwa ni sehemu ya Mchezo tunasema Ajali kazini nadhani wote humu tushawahi kupunwa na Mrusi hvyo tusiogope kuliwa unapoliwa ndipo unajifunza
6. Uwezo wa ushindi wa timu yaani Winning Consistency ya timu unaweza kuta Quarter ya kwanza kashinda Wa home , ya Pili kashinda wa away , ya tati kashinda wa home tena hapo usishangae Cha msingi angalia akishinda anashinda kwa tofauti ya goli (points ) ngapi then unaweka mpunga!

Mwisho kabisa Ankai Amesema Tamaa ni adui wa Huu mchezo hvyo Tamaa tuweke pembeni halafu Stake Hakikisha unapangilia vizuri stake zako sio ukimpiga mara tatu unaweka yote aisee utapigwa halafu uanze upya ! Amesema huu ni mwanzo tuu Ataendelea kuleta maujuzi

Na. Mwandishi wenu Million Dollars
MAPAMBANO YAENDELEE

GOD bless U All

RESPECT ANKAI [emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji1544]
Mzeee baba wewe ni mwandishi wa habari nini mzee wa kazi kifupi umetisha sana mana na namini member wengine watafaidika pia kupitia wewe BIG UP JOH and God bless u
 
Mzeee baba wewe ni mwandishi wa habari nini mzee wa kazi kifupi umetisha sana mana na namini member wengine watafaidika pia kupitia wewe BIG UP JOH and God bless u

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapana Bob Mm Engineer wa Computer Hapo kwenye uandishi Shule nilizopitia walimu wa Kiswahili walikuwa Wakali saaana Yani Lazima unyooke! Kwenye nukta akute Mkato aisee lazima uombe Poo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapana Bob Mm Engineer wa Computer Hapo kwenye uandishi Shule nilizopitia walimu wa Kiswahili walikuwa Wakali saaana Yani Lazima unyooke! Kwenye nukta akute Mkato aisee lazima uombe Poo
Daah unatish kama ukoma mzee wa shoo nimekubali sana kazi yako alafu namini sasa tutaanza kwenda sawa kwenye basketball ama siyo wa shoo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapana Bob Mm Engineer wa Computer Hapo kwenye uandishi Shule nilizopitia walimu wa Kiswahili walikuwa Wakali saaana Yani Lazima unyooke! Kwenye nukta akute Mkato aisee lazima uombe Poo
Hahaaaa bila shaka wewe ni muhenga kama mimi. Ujue waliosoma majuzi kati huwa nawashangaa uandishi na uongeaji wao,mpaka huwa najiuliza hivi ndivyo walimu wao wanafundisha hivyo siku hizi?!
 
yaani hapo ni wastani wa goal 3 na kona saba kwnye kila game...magoli yanawezekana ila corner sijajua...jaribu kwa 5000...sio buku maana ikitiki utajutia kuweka buku
Hizo goli 25 mnaziona za kitoto eeh! Corner ndio rahisi sasa kama hujui! Kila game haiwezi pungua corner 6-7 kwa wastani na kuna wanaozidigi hapo! Ila magoli kuna wanaopuyanga dkk 90+ wanatoa goli 2! Wangekuwa na nia ya kuwapa hio hela walau goli 15 its possible kutokea na hio ndio tofauti ya kampuni za ulaya na bongo!
 
Acha kabisa kuweka stake ya 500K utakufa kwa BP, yaliyonipata nayajua na wananzengo yani kwenye kubet weka stake ambayo hata ukiipoteza hautoumia.
.
Unaweza cheza under 5.5 game mpka dk ya 85' ubao unasoma 1-0 lakini hadi kipenga cha kaptura nyeusi kinalia ni 4-3 ndo utakapojua kwanini nguruwe ni anapigwa mawe lakini ni mtam kuliko wanyama wote😂😂😂😂😂
Af ujue mpira wa ******* sana mwanangu na ubaya matokeo yake hayabadilishiki kirahisi sio sawa na kikapu! Dakika za nyongeza ni rahisi kubadili tokeo yani! Kwa hio hela avizie handicap za Ankai, akiweka moja tu ikatiki ni mafuta ya mwezi mzima! Akitupia ya pili ikatiki anafunga hesabu weekend inakuwa nzuri mno!
 
Acha kabisa mkuu utakuta timu kipind cha kwanza wametupiana labda 3-2, ukaona hapa kuna goli nyingine nying tu ngoja nitupiamo labda over 5.5 yaan kapatikane kagoli kamoko tu na utakuta bookmarker nae amekapaka odd za kiboya labda 1.12 sasa mtu mzima ukakaweka kwenye mkeka wako alafu mwisho wa siku 2nd half inaisha 0-0 mwishowe jicho linakutoka kama ngumi.
Af ujue pira wa ******* sana mwanangu na ubaya matokeo yake hayabadilishiki kirahisi sio sawa na kikapu! Dakika za nyongeza ni rahisi kubadili tokeo yani! Kwa hio hela avizie handicap za Ankai, akiweka moja tu ikatiki ni mafuta ya mwezi mzima! Akitupia ya pili ikatiki anafunga hesabu weekend inakuwa nzuri mno!
 
Wadau Ukiwa makini utapiga sana weka unachoweza afford kupoteza mi mbinu yangu nabet max 20 to 30% ya mtaji wangu usibet zaidi ya nusu ya mtaji utaumia daily.
 
Back
Top Bottom