Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Acha kabisa mkuu utakuta timu kipind cha kwanza wametupiana labda 3-2, ukaona hapa kuna goli nyingine nying tu ngoja nitupiamo labda over 5.5 yaan kapatikane kagoli kamoko tu na utakuta bookmarker nae amekapaka odd za kiboya labda 1.12 sasa mtu mzima ukakaweka kwenye mkeka wako alafu mwisho wa siku 2nd half inaisha 0-0 mwishowe jicho linakutoka kama ngumi.
Aisee mi ndio maana over siziwezi mkuu, ni bora nitie under niliwe yani ila over uongo!
 
Acha kabisa mkuu utakuta timu kipind cha kwanza wametupiana labda 3-2, ukaona hapa kuna goli nyingine nying tu ngoja nitupiamo labda over 5.5 yaan kapatikane kagoli kamoko tu na utakuta bookmarker nae amekapaka odd za kiboya labda 1.12 sasa mtu mzima ukakaweka kwenye mkeka wako alafu mwisho wa siku 2nd half inaisha 0-0 mwishowe jicho linakutoka kama ngumi.
Tehtehteh, mkuu eti jicho linakutoka kama ngumi.
 
Wadau Ukiwa makini utapiga sana weka unachoweza afford kupoteza mi mbinu yangu nabet max 20 to 30% ya mtaji wangu usibet zaidi ya nusu ya mtaji utaumia daily.
Ukikaa kijanja si haba, unaeza kimbizana na raia kadhaa wenye fremu zao hapa mjini!
 
Bado Tunatest signal
Screenshot_20181201-104610~2.jpeg
 
Back
Top Bottom