Ikishindikana Andika tuu Mkuu hata kwa vipande vipande sasa hv unatoa kipande cha kwanza, baadae mchana unatoa cha pili, hvyo hivyo mpaka vinaisha yani taratibutaratibu mambo yatajipa
Mtumie mtu kwa whatsapp then huyo mtu atuwekee hapa kama inawezekanaSasa kwa apo nifanyeje kiongozikama kuna msaada niambie cha kufanya mkuu
Mtumie mtu kwa whatsapp then huyo mtu atuwekee hapa kama inawezekana
Nikweli inazingua hii application ya JF inawezekana haijafanyiwa modification kwa hili suala la audio attachment.Nikiupload inakuwa haitaki yan hifanyi chochote inakaa tu lile file nililochagua haliji uku JF linabaki kule kule kwenye internal memory iyo ndo shida mkuu
Mfate PM akutumie WhatsAppGood Idea Mkuu! Ikishindikana anitumie mimi Whatsapp Halafu nitaiandika mwanzo mwisho kama ilivyo
Labda umtumie mtu kwa whatsup ambaye alishawah post audio humu asaidie kupostOya wakuu mbona inanikatalia kuweka ili file la audio kila nikilichagua haikubali kuliupload sasa tatizo itakuwa nini audio nishaiandaa bado tu kuiupload apa mwenye ujuzi zaidi anisaidie wazee
Mfate PM akutumie WhatsApp
Poa ndo nafanya ivyo mzeeLabda umtumie mtu kwa whatsup ambaye alishawah post audio humu asaidie kupost
Nakutumia manNishaenda
Nshaku pm mzee baba,wakuu 1xbet wamekuja kuwaje tena kwenye dakika za 90? mbona ile option ya kuweka pesa kwa njia ya M-Pesa haipo? tunalipaje sasa? naomba kwa mwenye Odd 2 za uhakika anipe nataka niweke 500,000/= nikila 30,000 ya kwake
Acha kabisa kuweka stake ya 500K utakufa kwa BP, yaliyonipata nayajua na wananzengo yani kwenye kubet weka stake ambayo hata ukiipoteza hautoumia.wakuu 1xbet wamekuja kuwaje tena kwenye dakika za 90? mbona ile option ya kuweka pesa kwa njia ya M-Pesa haipo? tunalipaje sasa? naomba kwa mwenye Odd 2 za uhakika anipe nataka niweke 500,000/= nikila 30,000 ya kwake
Nisha watumia member wa wawili wao wamesema watayaleta umu ama wataweza kuipandisha umu ndani bobMtumie mtu kwa whatsapp then huyo mtu atuwekee hapa kama inawezekana
Noted mkuuNisha watumia member wa wawili wao wamesema watayaleta umu ama wataweza kuipandisha umu ndani bob
Wazee hii audio nimewatumia watu wawili kidi kudi na Million dollars hao ndo wamesema wao wanaweza kuipandisha apa ama watayaandika maelezo kama nilivyo yaongea so hawa jamaa wawili ninawaomba wafikishe ujumbe wangu alafu chukueni mawazo yangu changanyeni na YA WIMICKY kisha ongezeeni ya kwenu wenyewe basi apo naamini tutaweza kwenda sawa kabisa namaanisha basktbal utaweza kuifahamu na jinsi ya kuselect izo handcap kingin tusiogope kuliwa maana kuliwa ni sehemu ya huu mchezo
ONYO bet kile unachoweza kukipoteza means bet kile ambacho ata kikiliwa hutoumia ama haitokugharimu wewe iyo ni episod ya kwanza ya maelezo baadae nitaleta maelezo mengine kwa ajili ya mwendelezo lakini tuanze kuyafanyia kazi haya kwanza ALUTA CONTINUER MAPAMBANO YAENDELEE MAZEE IKO SIKU TUTAMILIKI BEMZI KWA ELA ZA KUB[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] WAZEEE WA JOB!!!
Umenitachi sana maelezo yako mkuu,Wazee hii audio nimewatumia watu wawili kidi kudi na Million dollars hao ndo wamesema wao wanaweza kuipandisha apa ama watayaandika maelezo kama nilivyo yaongea so hawa jamaa wawili ninawaomba wafikishe ujumbe wangu alafu chukueni mawazo yangu changanyeni na YA WIMICKY kisha ongezeeni ya kwenu wenyewe basi apo naamini tutaweza kwenda sawa kabisa namaanisha basktbal utaweza kuifahamu na jinsi ya kuselect izo handcap kingin tusiogope kuliwa maana kuliwa ni sehemu ya huu mchezo
ONYO bet kile unachoweza kukipoteza means bet kile ambacho ata kikiliwa hutoumia ama haitokugharimu wewe iyo ni episod ya kwanza ya maelezo baadae nitaleta maelezo mengine kwa ajili ya mwendelezo lakini tuanze kuyafanyia kazi haya kwanza ALUTA CONTINUER MAPAMBANO YAENDELEE MAZEE IKO SIKU TUTAMILIKI BEMZI KWA ELA ZA KUB[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] WAZEEE WA JOB!!!