Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
2 Cs No inamaanisha (Team 2 Clean sheet No)Colum ya kwanza iko njema sana mkuu
2 Cs No inamaanisha (Team 2 Clean sheet No)Colum ya kwanza iko njema sana mkuu
kokoloooooo...hakuna nyau nyau hapo!!!!!
Mkuu unapo weka 3+ manayake nini ushamba umenishika hapoChagua zako.. 21/12/2018
*JONG AJAX__3+
*COLOGNE__WIN
*SEPSI OSK__WIN
*LIVERPOOL__WIN OR 3+
*PARIS FC__HT DRAW/FT WIN
*JONG PSV__3+
*DORTMUND__WIN OR 3+
*DENIZLISPOR__HT DRAW/FT WIN
*GENT__3+
*JONG AZ ALKMAAR__3+
Haya Masikhara sasa,kokoloooooo...hakuna nyau nyau hapo!!!!!
simu si ndo hii hii ,,,nachungulia na kurudi kazini....tentententeHaya Masikhara sasa,
We c umetuaga unaenda job ?
Magoli 3 kuendeleaMkuu unapo weka 3+ manayake nini ushamba umenishika hapo
usishangae mimi ni dalali wa line zote !!!!huo mzigo silali mpaka uisheeeee.hahahaa nitakuwa nimepata stake ya kumdhalilisha mrusi....tententente
hapa mkuu ni timu moja tu ndo inanipa pressure Milan vs fiorentina...hizi nyingine sio saaanaKuna mixenge haikawiii kutoa nyaunyau sijui inajua tumeweka makaratasi huku[emoji34]
OVER 2.5 GOALS...GOAL 3+ ZINAWEZA TOKEAMkuu unapo weka 3+ manayake nini ushamba umenishika hapo
Toa maelezo Mkuuhuo mzigo silali mpaka uisheeeee.hahahaa nitakuwa nimepata stake ya kumdhalilisha mrusi....tententente
Me alinipa mitatu jana,ikatiki yote...PM yakekuna huyu jamaa anaitwa Ibra Zuberi anazingua sana huyu mtu , anasema eti njoo inbox nakupa bure' nikaenda pm akaniambia eti njoo whatsapp mamaee& naenda kumu brock pm sahiz sipendagi ujinga mimi%
sasa hapo tucheze mkuu, ushauri wako tafadhaliLiverpool ni MTU wa kumuogopa sana Leo kwa wale wa kubeti
sasa hapo tucheze mkuu, ushauri wako tafadhali
Kampuni gani saiv unatumia??skuiz ni mwendo wa Basketball Live ... huko kdg ahueni.
TupoMambo vipi wadau mpoooooo
Mkuu nitext whatsapp tafadhali 0685 758 123Mkuu ni first goal au mechi nzima iwe na own goal