Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1545402488980.png
 
1xbet mkuu ... naitumia kwa Live Basketball betting. Piga nikupige za kutosha, lkn faida ipo walau

Tatizo waliondoa option ya Tigo pesa Mpesa na airtel Money deposits na withdrawal, Kwenye option ya mastercard nimejaribu zaidi ya mara mia imegoma. 1xbet huwa haimlazi mtu njaa kabisa ni akili yako tu wana options za kufa mtu, kwenye sijui own goal redcard penalty hizo ni hela tu kwa wenye mtaji Mkubwa
 
Kweli tupu
 
*SAFE 25 ODDS FOR TODAY*
[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]
*BET9JA::Z6GQVPLP*[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]
*GAME STARTS 4pm*
[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]

Wolves - Liverpool
Over(1.5) 1.26

Borussia Dortmund - Monchengladbach
Over(2.5) 1.42

Cologne - Bochum
Over(1.5) 1.14

VVV Venlo - PEC Zwolle
Over(2.5) 1.80

KAA Gent - Cercle Brugge
Over(2.5) 1.45

Jong Psv - Almere City
Over(2.5) 1.42

Jong Ajax - Sparta Rotterdam
Over(2.5) 1.44

Al-Ittihad Jeddah - Al Nasr Riyadh
Over(1.5) 1.12

Fujairah FC - Al-Nasr Dubai SC
Over(2.5) 1.47

ADO Den Haag - Psv/Fc Eindhoven
Over(2.5) 1.27

Helmond Sport - Jong FC Utrecht
Over(1.5) 1.10

RESET 100 ₦ 500 ₦ 1000 ₦ 2500 ₦
Multiple
*Odd 25.86*
Amount ₦
*Bonus 2,486.46 ₦*
*Potential winning 15,918.76 ₦*

*[emoji1593] Game Master [emoji452][emoji1317]*

GOODLUCK
 
Zifuatazo ni over y/2.5
Dortimund
Liverpool
Jong jax. Sasa hapo mwenye hela anachagua mechi moja kati ya hizo anaweka mti w 100,000 kesho mapema anaamukia m-pesa kutoa 140,000 tatizo LA sisi wanachama watataka kuweka mechi zote ili avutw mpunga wa maana tusiweke tamaa mbele tutaumia sana.
 
*SAFE 25 ODDS FOR TODAY*
[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]
*BET9JA::Z6GQVPLP*[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]
*GAME STARTS 4pm*
[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]

Wolves - Liverpool
Over(1.5) 1.26

Borussia Dortmund - Monchengladbach
Over(2.5) 1.42

Cologne - Bochum
Over(1.5) 1.14

VVV Venlo - PEC Zwolle
Over(2.5) 1.80

KAA Gent - Cercle Brugge
Over(2.5) 1.45

Jong Psv - Almere City
Over(2.5) 1.42

Jong Ajax - Sparta Rotterdam
Over(2.5) 1.44

Al-Ittihad Jeddah - Al Nasr Riyadh
Over(1.5) 1.12

Fujairah FC - Al-Nasr Dubai SC
Over(2.5) 1.47

ADO Den Haag - Psv/Fc Eindhoven
Over(2.5) 1.27

Helmond Sport - Jong FC Utrecht
Over(1.5) 1.10

RESET 100 ₦ 500 ₦ 1000 ₦ 2500 ₦
Multiple
*Odd 25.86*
Amount ₦
*Bonus 2,486.46 ₦*
*Potential winning 15,918.76 ₦*

*[emoji1593] Game Master [emoji452][emoji1317]*

GOODLUCK
Kaka prediction yako iko vizuri sana ila washauli watnzania wenzako wasizidishe mechi mbili tu waweke hata 10,000 kesho ataamuka na 18,000 au 17,000 ila atakae zidisha mechi mbili akaweka mechi tatu itakula kwake.
 
Back
Top Bottom