Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Vp wadau hilo gamba liko poaView attachment 974294
😂😂😂 Arsenal, A.Madrid, man U, na R. Madrid mmoja wao lazima akuchane hawana maana hao kwa direct win.
.
Mechi ya R. Madrid imekaa kikamari
Atletico anacheza na espanyol katoka kujeruhiwa angalia sana

Arsenal wameshamtoa bikra nazani ataendelea kubikiriwa
Man U ni ugonjwa wa pumu.
 
Jamani naomba kuuliza HAWA BETPAWA unaweza kuuza mkeka au ku turbo

Nikimaanisha unaweza kuchukua hela yako kabla mechi haijaisha na mnahisi hawa jamaa wanaweza kuwa mbadala wa 1Xbet????
Turbo hamna.

Nenda katoe Maoni waiweke.

Mteja ni mfalme.
 
Safi sana Mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…