[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Basketball bhana unachungulia unakuta vikapu viko vile vile unatudi Tena viko vile vile unaamua kucheza under uki place tu kinachotokea daaaah
Hayo ndo maamuzi magumu mzee baba.. Ila kwa Celta huwa anakaa
Haina mbaya mzeebaba leo ngoja nimjaribu coz walimpa 0dd 19Ata levante alikuwaga anamsumbua barca kapigwa 5 last week
Me niliwapa Gg wakanichania
1xbet wamezingua mkuu
Mazembe nyumbani alishinda kidude anahatari sana kuliko ya nyumbu kuvuka mto mara.Chukua Mammelod sundown kushinda na TP MazembeView attachment 974395
Mkuu hiyo option ya WIN TO NIL HOME/AWAY, ina maanisha nn mkuu*NOT FOR THE CHILD [emoji725]*
*2++ ODDS MAXIMUM STAKE*
I can win 76K TZS at betPawa.co.tz, join now and win with me! www.betPawa.co.tz/share-74814a4be
[emoji305][emoji305] *IMMA FABO* [emoji767]🤮 [emoji305][emoji305]
Napoli ni ***** hatabiriki kama ni mkabaji au mtafutaji ohooo!Mahaba yamezidi naombeni mniombee na live score na nai freezeView attachment 974465View attachment 974466
Napishana na pesa mkuu
Hapa titaelewana mghoshingwaHiyoooooooooo!!....View attachment 974460
Hizi ndio mikeka sasa boss kazi!
Mkuu una roho ngumu sana na una mapumbu ya chuma... Timu nane afu unatia 150k. Hope you win.Mahaba yamezidi naombeni mniombee na live score na nai freezeView attachment 974465View attachment 974466
Utashindwaje kuwaamini weuc wenzako bwana!Mkuu,timu za aafrica huwa siwaamin kabisa
Kushinda kwa bilaMkuu hiyo option ya WIN TO NIL HOME/AWAY, ina maanisha nn mkuu
[emoji23] [emoji23] we baki tuSteve kawa mjanja sikuhizi maana mikeka yake ipo poa..aisee
Lazio under 2.5 duuuh 35k inasepa daahhhh...asipate goli boya huyu