Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu acha tu hapa sijabet kama siku tatu hivi nikitafakari vipigo nikasema leo acha nijitose nipunguze timu za england mana hazitabiriki nikaweka mbili tu na yaliyotokea ndo hayo
leo ni balaa kila mahali nahisi haya makampuni ya kubeti na hizi timu wana lao jambo sio bure, kuanzia leo chelsea sio wa kupewa direct win wala over 1.5 mana haeleweki
 
Bado natafakari hadi leo, huwa unatumia viashiria gani kuona kwamba hii game itatoa goli 1st half mkuu?
Kiongozi jaribu kupitia humu LIVE IN PLAY FOOTBALL na BETSURED mara nyingi hawasemi uongo, ila za kuambiwa changanya na za kwako.
 
leo ni balaa kila mahali nahisi haya makampuni ya kubeti na hizi timu wana lao jambo sio bure, kuanzia leo chelsea sio wa kupewa direct win wala over 1.5 mana haeleweki
Kabisa mkuu Chelsea haaminiki sasa nikamtoa arsenal na man u nikamuacha Chelsea na man city jamani daah
 
wekeni mikeka ya kesho maana hapa siamini mpaka sasa naona bora double chances tu sasa hivi timu hazieleweki kabisa
 
Jamani wezee wenzangu, natembelea neutral vibaya sana. Mwenye buku 2 aokoe jahazi kwenye mpesa 0756567525
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…