Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wekeni mikeka ya kesho maana hapa siamini mpaka sasa naona bora double chances tu sasa hivi timu hazieleweki kabisa
Hapana kaka hata double chance utapigwa tu kaka cha kukushauli mpira nikazi kuubashili ila chakwanza utakiwa ubadilike usipende kucheza odds 1.90 wala 2.0 cheza 1.30 au 1.20 na hapo uweke mechi mbili au moja tu.
 
Hivi jamani ukitaka kuanzisha kampuni ya kubet unaanzia wap, nataka nianza kupiga hela kama mhind, mtaji ninao kama mil 8 nipeni njia wakuu

Niwe na kampuni yangu kama m bet, 1xbet, premier bet n. K
 
Hio hela ndogo sana, labda ukanunulie hisa uko kwenye makampuni makubwa. Kampuni zinaanzia million 200 mpaka mabillion.
 
Hivi jamani ukitaka kuanzisha kampuni ya kubet unaanzia wap, nataka nianza kupiga hela kama mhind, mtaji ninao kama mil 8 nipeni njia wakuu

Niwe na kampuni yangu kama m bet, 1xbet, premier bet n. K
mkuu upo ndotoni au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…