Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Boooooom!!
Woooooon
Aiseeee

Odds 3+ kibindoni kwa game 2 tu.
Mahesabu yamefungwa kwa leo[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Screenshot_20181223-072209.jpg
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ndo maana mmi nilikua nimestaafu kubet soccer ila baada ya kuona option ya magoli ni nafuu nakaona nirudi, lakini soccer kwakweli ni pasua kichwa wacha niendelee na basket yangu nikipata odds 3 naweza funga hesabu mapema kabisa
Basket ni nafuu sana kuzipata odds nzuri, ukiwa na malengo basket inasaidia kuyatimiza mbn maana odds mbili za basket waeza pata kwa game moja tu. Unakuwa umevuta faida nzuri tu.

Soccer ni ngumu halafu odds za option rahisi zimeminywa inakubidi uwekedirect win ili upate odd nzuri na hapo ndio unapoliwa kichwa kirahisi maana mpira mabadiliko yake ni magumu sana. Yani ikitokea meza zimeyumba kusawazisha mambo sio rahisi kama kwenye basket.

Mi natafta mtu mwenye consistency ya kubet kwa malengo mfano daily achezae games 10 tu za uhakika live. Kisha hesabu inafungwa. Tuwe tunaenda sawa ila ndio simpati humu watu wanakuja na kupotea
 
Basket ni nafuu sana kuzipata odds nzuri, ukiwa na malengo basket inasaidia kuyatimiza mbn maana odds mbili za basket waeza pata kwa game moja tu. Unakuwa umevuta faida nzuri tu. Mi natafta mtu mwenye consistency ya kubet kwa malengo mfano daily achezae games 10 tu za uhakika live. Kisha hesabu inafungwa
Niliwahi kushauri humu siku si nyingi kua ni lazima uwe na mtaji mahususi wa siku na usibet sana kwa tamaa ya kuvuta mpunga mrefu ukajikuta unajilipua na stake ya maelfu... Sijui kama watu wanaelewaga wakipewa ushauri
 
Kinachosumbua watu wengi humu mpaka kulia kila sku ni ktu kinachoitwa TAMAA .mtu anataka aweke buku achukue laki hyo hamnaga Kabsaa kanji syo boy akiasi hicho lakin ukiwa na lak utake elfu hamsini nakuahakikikishia utakula kila saaa hyo Nina uhakika nayo 100% lakn syo direct Winn lazma ucheze option ya magoli.
 
Kinachosumbua watu wengi humu mpaka kulia kila sku ni ktu kinachoitwa TAMAA .mtu anataka aweke buku achukue laki hyo hamnaga Kabsaa kanji syo boy akiasi hicho lakin ukiwa na lak utake elfu hamsini nakuahakikikishia utakula kila saaa hyo Nina uhakika nayo 100% lakn syo direct Winn lazma ucheze option ya magoli.
Ndicho kinachosemwa kila siku.. Kuweka timu kuanzia 3+ kwenye mkeka mmoja ni hatari na especially ukivizia zitoe odds kubwa,,ni bora uweke timu 3 zenye odds 1.7 ila option zenye usalama na hapa kwa soka option hiyo ni magoli tu
 
Back
Top Bottom