Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tu jalibu jackpot game 6 tunaweza ludisha mitaji
IMG_20181223_074956_310.jpeg
 
Ndicho kinachosemwa kila siku.. Kuweka timu kuanzia 3+ kwenye mkeka mmoja ni hatari na especially ukivizia zitoe odds kubwa,,ni bora uweke timu 3 zenye odds 1.7 ila option zenye usalama na hapa kwa soka option hiyo ni magoli tu
Njoo pm nimekupm
 
Kitu ambacho wengi tuna kosea ni mambo mawili
1. Tamaa ya kula pesa nyingi kwa wakati mmoja hali ya kuwa umeweka dau kiduchu ni kinyume na taratibu za bet.
2. Ushabiki hautakiwi kwenye game ya betting, hata kama team yako iko uwanjani, usiiamini hats kidogo kwa maana lolote laweza kutokea na ikawa msiba kwako.

Nb:
Ukihitaji kushinda kila siku hakikisha unaweka magoli na sio direct win. Mfano mzuri ni jana kwa Chelsea na man city wote hao walipoteza kwa direct win.
Yeyote ambae aliweka idadi ya magoli kuanzia 0.5over jana ilikuwa shangwe kabisa.
 
Tumekoma tutafuata ushauri!!
 
Wanavyolalamika humu utadhani hawatabeti, yani akili za wabetiji ni kama za watoto wadogo. Unamtia konzi analia anasema achezi tena na wewe ukimpa pipi anafurahia anajisahau anakuja kucheza tena na wewe. Cycle ndio ipo hivyo, wengine wanajidai eti kuanzia leo nastaafu halafu anabetia uvunguni akila 20k atarudi mbio hapa kuinadi mbinu mpya!
ahahaha washazoe kuliwa awo mkuu waache tu waendelee kuliwa
 
Back
Top Bottom