mwamuzi wa kesi shahidi
Senior Member
- May 31, 2018
- 176
- 179
Asante mkuu kwa kunielewesha
Handcap kwa tafsiri halisi ni kitu kilemavu. Kwenye betting inatumika kuwapa team kibonde ushindi flani usio halisi kama assumption unawaongezea point ama magoli. Kama matokeo yakienda sawa na hio assumption unakuwa ume win bets. Vile vile kwa timu imara inaondolewa ushindi kwa style ya kupunguziwa point au magoli, wakiweza kuendela kupata ushindi ilihali umewapunguzia magoli basi una win bets.