Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Loss[emoji51] [emoji51] ndo maana huwa sipendi kucheza upande wa under
Screenshot_20181223-103859.jpg
 
Sasa wadau wenzangu tujifunze kulizika halafu ukikaa chini ukafikili kwa kina unaweza sema wenye kampuni wanatumia dawa kuwapoteza wacheza bet kiakili unakuta mtu anaweka hela ili aplay game moja au mbili tu sasa unapokuwa kwenye betting yenyew inaanza kuja akili ambayo haikuwa ndio mawazo yako yahapo hawali utashangaa unataka uchague option ambayo hukuiwazia hapo awali utajiku unaiyona timu ambayo hukuiwazia hapo wali yaanj yanakuja mambo mengi sana mwisho wasiku unakuta mkeka umechanika unaanza kukumbuka mawazo yaliyo kuwa ya ukweli ya mwanzo kabisa.Sasa hoja yangu nikwamba tujifunze kubeti mechi moja tu weka hata 10,000 ikiuletee 3000 ya faida au hata 2000 sio mbaya ni heli ule 2000 au 3000 kila siku kuli kuliwa 1000 au 2000 kila siku.
 
Nimepitwa mechi ya hong Kong ningetupia hata 20,000 nikaweka 2.5 mapema nineingiza cha 10,000 kwani ile ligi wakifungana magoli kama nimadogo ma4
 
Back
Top Bottom