Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwenye soccer mkuu, pia naomba unifundishe basket niamie huko mkuu, huku kwenye soccer naona pagumu sana
Kwenye soka handcap maanake either unaiongezea au kuipunguzia timu fulani goli na hata baada ya kufanya hivyo timu hiyo iibuke mshindi..
Pitia hapo chini
Screenshot_20181223-084224.jpg
 
kama una ambiwa usikii sisi tufanyej? unataka milion kwa buku!!niambie biashara gan iyo unaweza kufanya ukapata iyo milion kwa buku yako?
Kiukweli cc wabetaji enye titaji tudogo ni shida sana. Maana tunawema kweli ka buku watska laki!! Ila ka mtaji upo upo na yamaa unaweka mbali ahhh hapo lazima sherehe!!! Ila ndo hivyo tumitaji sasa ni tatzo!!
 
Poa mkuu nashukuru nimeelewa, naomba na unifundishe kwenye basket jins ya kubet maana nataka niamie huko
Daaah basket ni darasa refu inategemea unataka kubet option gani. Ila kwa ushauri anza kwa direct win mara nyingi zinatoa,,huko kwenye handcap panahitaji utulivu sana na kujua ligi za timu husika lasivyo utachezea vichapo daily
 
Kinachosumbua watu wengi humu mpaka kulia kila sku ni ktu kinachoitwa TAMAA .mtu anataka aweke buku achukue laki hyo hamnaga Kabsaa kanji syo boy akiasi hicho lakin ukiwa na lak utake elfu hamsini nakuahakikikishia utakula kila saaa hyo Nina uhakika nayo 100% lakn syo direct Winn lazma ucheze option ya magoli.
Jan option ya Over 0.5 imesepaa na pesa yangu vipi hapo nayo ni tamaa???
 
Ww nae sikiliza ushauri!! Hayo matimu umeweka mengi sana!! Chagua moja la uhakika litilie mihela one mifaida!!! Shauri yko mm nimeanza kufuata ushauri cweki mitimu mingi!!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Hivi wakiandika handcap wanamaanisha nini wadau
Handcap kwa tafsiri halisi ni kitu kilemavu. Kwenye betting inatumika kuwapa team kibonde ushindi flani usio halisi kama assumption unawaongezea point ama magoli. Kama matokeo yakienda sawa na hio assumption unakuwa ume win bets. Vile vile kwa timu imara inaondolewa ushindi kwa style ya kupunguziwa point au magoli, wakiweza kuendela kupata ushindi ilihali umewapunguzia magoli basi una win bets.
 
Back
Top Bottom