Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nataka nipate hela ya sikukuu kupitia game ya simba, ushauri na maoni yenu wadau.
IMG_20181223_134548_315.jpg
 
Hawa betpawa kumbe wako vizuri
Wako vzr, nimewapenda.

Chief, nimefungua account ya Skrill ... lakini nikijaribu kudeposit from CRDB inasema "Transaction Failed". Ni account ya TZS.

Au mpk iwe account ya USD?
 
Wako vzr, nimewapenda.

Chief, nimefungua account ya Skrill ... lakini nikijaribu kudeposit from CRDB inasema "Transaction Failed". Ni account ya TZS.

Au mpk iwe account ya USD?
Angalia salio ulilonalo bank then ndo ujaribu
 
Wanavyolalamika humu utadhani hawatabeti, yani akili za wabetiji ni kama za watoto wadogo. Unamtia konzi analia anasema achezi tena na wewe ukimpa pipi anafurahia anajisahau anakuja kucheza tena na wewe. Cycle ndio ipo hivyo, wengine wanajidai eti kuanzia leo nastaafu halafu anabetia uvunguni akila 20k atarudi mbio hapa kuinadi mbinu mpya!
[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom