Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu over 0.5 naona speed imepungua au??
Mkuu huko sipo tena. Hivi sasa mtindo wangu umebadilika. Naweka mikeka mitatu, kwenye kila mkeka kunakuwa na timu 3 ama zaidi 4 ambazo zitanipa odds 2. Kisha kwenye kila mkeka naweka 2000, jumla 6,000 lengo langu likiwa kuingiza pesa kila siku kwa mipango ya kuwithdraw ndani ya wiki kadhaa ama mwezi.

Changamoto ni kuzuia tamaa na kustick kwenye plans. Nashukuru mpaka sasa kuna matunda.
Screenshot_20181222-191451.jpg
 
Mkuu huko sipo tena. Hivi sasa mtindo wangu umebadilika. Naweka mikeka mitatu, kwenye kila mkeka kunakuwa na timu 3 ama zaidi 4 ambazo zitanipa odds 2. Kisha kwenye kila mkeka naweka 2000, jumla 6,000 lengo langu likiwa kuingiza pesa kila siku kwa mipango ya kuwithdraw ndani ya wiki kadhaa ama mwezi.

Changamoto ni kuzuia tamaa na kustick kwenye plans. Nashukuru mpaka sasa kuna matunda. View attachment 975364
Unaweka Option gani mkuu??? Aisee nilitaka niwr natumia hiyo mbinu Sema tamaaa inakujaaa balaaaa...
 
Duuuuh nimekuelewa mkuu
 
Mkuu unaweka option gani?
 
Jamaa unaakili KISENGEEEE(mzuka mpaka nimetukana), nafata ushaur wako aseee
 
Unaweka Option gani mkuu??? Aisee nilitaka niwr natumia hiyo mbinu Sema tamaaa inakujaaa balaaaa...
Duuuuh nimekuelewa mkuu
Mkuu unaweka option gani?
Hakuna options moja ya kusema ndo unaweka kote, hapana. Unatazama mechi na kuona hapa kuna options gani ambazo angalau huwa ni safe. Hivyo unaweza kuona kuna baadhi naweka no red card, kuna baadhi naweka under 2.5 first half, kuna muda naweza kuweka home team win either half, au no win to nil, au no penalty. Inategemea na mechi wakuu, so nafanya kuchambua mechi at night, kisha naweka options zangu.
 
Semq idadi sasa ndo 3 mpaka 4 hapa ndo kuna mtihanii shehee...

Mtihani wautengeneza wewe mkuu kwa tamaa zako. Unaweka mikeka mitatu itakayokupa odds mbili mbili. Kisha kila mkeka waweka 2000. Moja unapunguza risky ya kupoteza pesa kubwa na kwa kugawa unapunguza risk ya kukosa kote.
Screenshot_20181223-151308.jpg
Screenshot_20181223-151342.jpg
Screenshot_20181223-151420.jpg
 
Back
Top Bottom