soka255
JF-Expert Member
- Sep 3, 2018
- 1,860
- 1,321
tententente endelea kututamanisha tu NA hizo green!!Mkuu huko sipo tena. Hivi sasa mtindo wangu umebadilika. Naweka mikeka mitatu, kwenye kila mkeka kunakuwa na timu 3 ama zaidi 4 ambazo zitanipa odds 2. Kisha kwenye kila mkeka naweka 2000, jumla 6,000 lengo langu likiwa kuingiza pesa kila siku kwa mipango ya kuwithdraw ndani ya wiki kadhaa ama mwezi.
Changamoto ni kuzuia tamaa na kustick kwenye plans. Nashukuru mpaka sasa kuna matunda. View attachment 975364