Wako vzr, nimewapenda.Hawa betpawa kumbe wako vizuri
Angalia salio ulilonalo bank then ndo ujaribuWako vzr, nimewapenda.
Chief, nimefungua account ya Skrill ... lakini nikijaribu kudeposit from CRDB inasema "Transaction Failed". Ni account ya TZS.
Au mpk iwe account ya USD?
daaah wewe mtu ni noma sana mechi imeshatoa matokeoOver 0.5 first half, weka kiwanjaView attachment 975321
Angalia salio ulilonalo bank then ndo ujaribu
WOOOON MKAWITHDRAW.Over 0.5 first half, weka kiwanjaView attachment 975321
Ulifuata mkuudaaah wewe mtu ni noma sana mechi imeshatoa matokeo
UsSalio lipo la kutosha najaribu kudeposit 20,000/- kwanza. Wewe huwa unadeposit in terms of EURO from TZS account, na inakubali?
WOOOON MKAWITHDRAW.
Pamoja mkuu nikipata nyingine yenye mwelekeo nitaileta.Nimechelewa kuiona hii.. Wakati naanza kuitafuta tu goli likaingia.. Leta nyingine mkuu.
[emoji23] [emoji23]Wanavyolalamika humu utadhani hawatabeti, yani akili za wabetiji ni kama za watoto wadogo. Unamtia konzi analia anasema achezi tena na wewe ukimpa pipi anafurahia anajisahau anakuja kucheza tena na wewe. Cycle ndio ipo hivyo, wengine wanajidai eti kuanzia leo nastaafu halafu anabetia uvunguni akila 20k atarudi mbio hapa kuinadi mbinu mpya!
Nitajifunza VP kupitia kwako mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] karibu ujifunze basket mkuu
Tunaomba uwe unatupia n link tumbee pamoja
Vipi kuhusu withdraw mkuu wangu.Jaman kampuni ya playmastabet iko vizuri inaoptioni nyingi sana zingine sijawahi hata kujiona .kalibun wadau.
Mkuu over 0.5 naona speed imepungua au??Vipi kuhusu withdraw mkuu wangu.
Mungu wangu wanangu alichokifanya Manchester city Jana sitosahau Kamwe