tententente endelea kututamanisha tu NA hizo green!!Mkuu huko sipo tena. Hivi sasa mtindo wangu umebadilika. Naweka mikeka mitatu, kwenye kila mkeka kunakuwa na timu 3 ama zaidi 4 ambazo zitanipa odds 2. Kisha kwenye kila mkeka naweka 2000, jumla 6,000 lengo langu likiwa kuingiza pesa kila siku kwa mipango ya kuwithdraw ndani ya wiki kadhaa ama mwezi.
Changamoto ni kuzuia tamaa na kustick kwenye plans. Nashukuru mpaka sasa kuna matunda. View attachment 975364
Weka uliwe.Hapani kwamba alhayl hawezi pata goal hata moja full time..
Hizi odd 1.85 zinanitamanisha niweke sijui laki nifunge hesabu kwa faida ya 85000 cash
tententente... hapo unaweza kulia mkuuAnother profit is coming soon.View attachment 975504
Chuma imeshatika yaani nasubili filimbi ilie tu timu zote zimeshafika malengo yangu.tententente... hapo unaweza kulia mkuu
hongera sanaChuma imeshatika yaani nasubili filimbi ilie tu timu zote zimeshafika malengo yangu.
ongera aiseeChuma imeshatika yaani nasubili filimbi ilie tu timu zote zimeshafika malengo yangu.
MKAWITHDRAW.First half over 1.5 weka shambaView attachment 975530
Quarter moja dakika kumi kwa ligi nyingi lkn kuna wengine wanaenda kwa dakika 12 km NBA China na PhilippinesJamani hivi basketball inachezwa kwa mda gani?
WOOON MKAWITHDRAWFirst half over 0.5 weka nyumbaView attachment 975527