Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkeka wa pili kwa leo. Tumefunga hesabu.
Screenshot_20181223-222837.jpg
 
Mkuu huko sipo tena. Hivi sasa mtindo wangu umebadilika. Naweka mikeka mitatu, kwenye kila mkeka kunakuwa na timu 3 ama zaidi 4 ambazo zitanipa odds 2. Kisha kwenye kila mkeka naweka 2000, jumla 6,000 lengo langu likiwa kuingiza pesa kila siku kwa mipango ya kuwithdraw ndani ya wiki kadhaa ama mwezi.

Changamoto ni kuzuia tamaa na kustick kwenye plans. Nashukuru mpaka sasa kuna matunda. View attachment 975364
Tumeona mkuu
 
Back
Top Bottom