Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mtaji w cha 10,000 umeniletea 67,000 nikitoa 10,000 nabakiwa na 57,000 hivyo basi nimerudisha sehemu ndogo ya pesa zangu ambazo nimeliwa hapo nyuma kuna wajinga hapo wamepata hiyo pesa wanakwambia Leo nimempiga muhindi.wakati yeye ndio anakupiga daily.namshukulu mungu kuniludishi kiasi kidogo ili na Mimi ninunue kuku wa sikuku,
 
Nmekutamani elf 20 yangu imeenda na maji jana.
Leo nitakufata uwe unaweka mikeka mapema bhasi.
 
Hivi hawa Gal Bet mbona sioni sehem ya kuwithdraw kwa mpesa..... wanataka xmas nisile kuku nini
 
Siku ya naja nilikuelewa sana,hongera sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…