Isack bruno
Senior Member
- Dec 12, 2016
- 192
- 207
Feyernood anazingua sana sikuiz
wana app?Jamani Mimi Leo nimeamia kampuni ya playmaster bet yani option hadi raha halafu mida hii wanamechi za live bet kama tano hivi wakati ukienda kwenye makampuni mengine wanamechi kabisa yaani wenyew mpaka jioni ndio wanaleta mechi za live duh! Hongera playmaster bet.
Ndugu Zangu Kuna Mtu amewahi kuwithdraw hela toka pigabet? Kuna hela nimetoa tangu asubuhi Lkn sijaipata mpaka sasa
Aiseeee hawa watu ndio washanidhulumu nini?Aisee makampuni kama miaa hivii.. Pigabet[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Naanzisha langu nyeto bet
muulize shahiba wa avatar yakoAiseeee hawa watu ndio washanidhulumu nini?
App hawana Mimi mwenyew nimewapata kwenye chrome website ndio unawapata kwa wepesiwana app?
Tupia link niwatest
Hivi hawa Gal Bet mbona sioni sehem ya kuwithdraw kwa mpesa..... wanataka xmas nisile kuku nini
Jamani Mimi Leo nimeamia kampuni ya playmaster bet yani option hadi raha halafu mida hii wanamechi za live bet kama tano hivi wakati ukienda kwenye makampuni mengine wanamechi kabisa yaani wenyew mpaka jioni ndio wanaleta mechi za live duh! Hongera playmaster bet.
Sporting kapita na 20000 yangu
Hapana kodi waikata kwenye. Tax kama ilivyo princes bet au betpawa .sema ukicheza kwenye ticket utaona kama wamekukata kwa asilimia 20 ila sasa ukishinda tu ili hela waliyo kukata inarudi palepale Mimi nimeaanza Leo nimeshinda ikaja hela ile inayostahili kama utashinda 10,000 kwenye ticket itakuonesha 9,000 hiyo 1000 inakuwa imekatwa kama tax ila ukisjinda inakuja 10,000 kama kawa.kingine wanamechi nyingi hata kama sio weekend kama Leo makampuni mengi hana mechi ila wao zipo kidogo za kulizisha.Kodi vip??
Promotion code yao ni ipi mkuu??Jamani Mimi Leo nimeamia kampuni ya playmaster bet yani option hadi raha halafu mida hii wanamechi za live bet kama tano hivi wakati ukienda kwenye makampuni mengine wanamechi kabisa yaani wenyew mpaka jioni ndio wanaleta mechi za live duh! Hongera playmaster bet.
Ni A24Promotion code yao ni ipi mkuu??