Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hizo zilikuwa fixed zote mbili kwa Jana
Usikate tamaa betting ipo beyond your understanding, inabidi tuamini kwa vitendo sasa


 

Attachments

  • IMG-20181225-WA0014.jpg
    26.6 KB · Views: 44
Hizo zilikuwa fixed zote mbili kwa Jana
Usikate tamaa betting ipo beyond your understanding, inabidi tuamini kwa vitendo sasa
watu tunajipinda kumbe watu washpanga matokeo kutoka nyau nyau. Ndio maana league za Turkey na Greece naziogopa kwa kupanga matokei.


Ila mdau mbona hata hukutusanua mapema nasisi tukajilupua, kizuri kula na nduguyo
 
Wakuu nisaidieni nataka kujiunga na betpawa lakini zinaniletea code za Kenya na nikitaka kuziediti niweke code za Tz haieditiki
 
Mkuu nmeshajisajili sema nimedownload app yao nikjarbu kulog in kwa app ndo inaniletea hyo code za kenya
Nitumie hyo link ya kudownload app yao ya hapa Tz maana mm napenda Sana app sipendi kwenye online
 
nawewe badala ya kuweka hata kilo au buku ten basi
Haziaminiki hiz maana watu wengi wanadanganya na huwez mpa mtu maana akiingia chaka atakulaumu na hapo hizo odd niliskilizia hadi dakika ya 15
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…