Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1xbet, Chief ...

Uzuri ni interface yake iko friendly kuwahi kutupia bet.
Mzee nahitaji darasa tosha ktk mikeka yako hata kumi kuhusu hii Quarters maana inaelekea kuwa ukiwa makini nayo hukosi pesa ya Balimi na nyama choma kwa siku
 
Leo tunarejea mzigoni..kufa ama kupona..ni mwendo wa kufungulia turbo! Afe kipa afe beki....game chache odds za wastani mzigo mnene...tamaa mwisho mwaka huu...
 
Mzee nahitaji darasa tosha ktk mikeka yako hata kumi kuhusu hii Quarters maana inaelekea kuwa ukiwa makini nayo hukosi pesa ya Balimi na nyama choma kwa siku

Yes, trend inakuwa ni hivi. Ni sehemu ya research niliyoifanya takribani wiki nzima ...

Shida ya huu mchezo tunapoweka stake kubwa huwa kuna kahofu ... na ndio kanatulostisha sn. Unaweza ukaacha timu inayotoa ukafuata mchawi.
 
Wanangu wa kubet mkeka wa leo huu hapa

PILAU win
NYAMA over 3.5
WALI win
MAHARAGE win or draw
UGALI lose
MAKANDE lose
SODA win and over 3.5
BIA double chance
Daaah....mkuu huu mkeka unatoka kabisa yaani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Yes, trend inakuwa ni hivi. Ni sehemu ya research niliyoifanya takribani wiki nzima ...

Shida ya huu mchezo tunapoweka stake kubwa huwa kuna kahofu ... na ndio kanatulostisha sn. Unaweza ukaacha timu inayotoa ukafuata mchawi.
View attachment 977669
Mkuu una tumia njia gani ku withdraw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…