Mkuu una tumia njia gani ku withdraw
Na arsenal yenu leo mnakiona kinachomfanya mamba aishi majini atage nchi kavu😝
Leo vp?Antalyaspor vs Fernebache
1 half over 0.5
Fuata nyuki ule asali,
Christ-mass njema.
Mwamba najua hukoseagi..unless otherwise..
man city bado ana kiwiwe cha kufungwa huyo!
Hapo lazima upige mpunga ongeza weka elf10tujalibu hapaView attachment 977867
ngoja niicheki hiiHapo lazima upige mpunga ongeza weka elf10
Hapo uhakikangoja niicheki hii
mbona kama imekaa vibayaHapo uhakika
Kawew over2.5 kwenye ligi ya golmalia ya Kenyawakuu nataka niweke 15000 mtabiri konki anichoree mkeka atakula 10%
pagumu hapo, kwann mnazikimbia timu kubwa?!View attachment 977895
Huu vipi?
duuh!Kawew over2.5 kwenye ligi ya golmalia ya Kenya
Ww siumetaka mkeka au mchongo ndio huo hautakosa 13000 kama faidaduuh!
Serious?Ww siumetaka mkeka au mchongo ndio huo hautakosa 13000 kama faida
Na arsenal yenu leo mnakiona kinachomfanya mamba aishi majini atage nchi kavu[emoji13]