Naomiselevesto
Senior Member
- Jun 10, 2018
- 119
- 159
Sure usiongeze mechi weka hiyo hiyo anacheza golimalia vs Posta rangers inacheza SAA 9:00 usipende faida kubwa. Utamchangia mhindi mpaka mwisho wakoSerious?
Tupo Whatsapp asee, ndo pananogaaawale wazee wa kuchokonoa meno kwa over 0.5 mko wapi jamani
Mmmmmmhhhh yani mechi zote hizo zitoke nyau nyau 1H, hapo mchawi lazima uwe mwenyewe tuutujalibu hapaView attachment 977867
Uhakika hakuna mkuu, labda 1H 2.5 under utaipenda mwenyeweHapo uhakika
Lazio mpe Double chance kisha hao Wa Belgium wape 1.5 Over..cheki hiiView attachment 977894
Hahahahahawale wazee wa kuchokonoa meno kwa over 0.5 mko wapi jamani
poa niaje?Leo vp?
kabisa mkuu hapo mbona mapema tuu[emoji125]Mmmmmmhhhh yani mechi zote hizo zitoke nyau nyau 1H, hapo mchawi lazima uwe mwenyewe tuu
ni kweli goli 2+ hapo zipo lakini anayefungwa hapo hajulikani, katika ligi ambazo hazihitaji kucheza direct win basi ubelgiji ni mojawapoLazio mpe Double chance kisha hao Wa Belgium wape 1.5 Over..
Sawa mzee baba ila lumbuka biashara Asubuhi, ila wewe ngojea jioni ukione cha moto.kabisa mkuu hapo mbona mapema tuu[emoji125]
Ligi za Italy tembea nao kwa option za 1H 1.5, na 2.5 under.Sioni dalili za ac milan kupata hata goli 1
acha uoga mbaba AC MILAN tushamzoea kutoa nyau nyauLeo nyau nyau za kutosha angalieni sana wazee wa over 0.5 au 1.5
Kwanini Kaka..Game ya Leicester vs Manchester city inaniumiza kichwaaaa
Of course itakuwa ngumu ila ilukicheza magoli ni poa, 1.5/2.5 ov.Game ya Leicester vs Manchester city inaniumiza kichwaaaa
cheza over 1.5Game ya Leicester vs Manchester city inaniumiza kichwaaaa