Hiii kitu ilitoa aiseee duuh..Haya wale wa kujilipua odds 3+ hizoooo na bonus juuView attachment 978554View attachment 978555
Yaaani mkuu ungesubiri odd zijaejae ungekua ushafunga hesabu kwa leo
Mie nimeziona but mobile payment za kibongo hamnaHizo payment methods wenzang mmeziona au?
uwoga mwingi mkuu..kuna nyingine inafuata ya wavulana Australia hiyo mkuu lazima itoe pia 1st halfYaaani mkuu ungesubiri odd zijaejae ungekua ushafunga hesabu kwa leo
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaaa and you got guts to say datCatania ametoa alafu za kuambiwa changanya na zako
Ww umeweka?
Kila la kheri.Ngoja nijarib kihiv kutafuta mtaj wa keshoView attachment 979370View attachment 979371View attachment 979372
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado naendelea kupokea Username mpya # INBOX Hadi tarehe 31.12.2018 Changamkieni mchongo huu wadau washtue na wana wajisjili. PamojaNiaje wandugu, Ninakifurushi hapa cha vocha(Scratch card) za PrincessBet nikaona nishee nanyi. Ni kwa wateja wapya. Chakufanya jisajili na www.princessbet.co.tz kisha weka pesa kwanzia Tsh 1000/= na unipatie Username yako kisha ntakupatia Bonus hiyo yenye thamani ya Tsh 5,000/= By Simba
PrincessBet Agent.
Bonus ya msimu wa sikukuuView attachment 978778View attachment 978779
Thubutu!!! Hana kitu ni manjonjo tu!ww s umesema unazo fixed jamaa kakushaur ushaur mzur weka malaki upige ela si ni fixed ikiwezekana weka ata bond nyumba upige ya haraka haraka
Sent using Jamii Forums mobile app