Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naomba msaada wa tafsiri ya matokeo ya courter inayoendelea kwenye In Play za Basketball.
 
Wakuu premier bet jackpot unaweza kufuata hapa...
1-Everton-×
3-Watford
4-birgham
5-×
6-Norwich
7-Aston villa
8-afc Wimbledon
9-×
10-fleetword
11-×
12-abeeden
.........…………………
.
Wakuu hii ni saturday jackpot tunaobet kwenye vituo vya premi er kama mimi dau la sasa ni 61,500,000
 
usiseme ukuiona kwa tsh 100 waweza jinyakulia mil200
 

Attachments

  • untitled.PNG
    untitled.PNG
    60.5 KB · Views: 33
Imma vp,hii bonus mbona kubwa imetokana na nn?
Bet pawa ni Kampuni mpya wame tumia strategy ya kutoa bonus ili waweze vutia wateja kubet kupitia kampnu yao
so unapo cheza mechi 5 bonus ni 10%
mechi 10 bonus ni 50%
Mechi 20 bonus ni 100%
 
DRAW YA MAKUNDI CAF IMEKAMILIKA.
 

Attachments

  • IMG_20181228_210803.jpg
    IMG_20181228_210803.jpg
    45.4 KB · Views: 29
Duh! mbona humu kumepooza hivi? Au kwasababu ni mwisho wa mwaka wadau wapo makanisani na misikitini!! Sio kawaida aisee..
 
Back
Top Bottom