Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ndugu zangu umakini na upembuzi wa hali ya juu unahitajika katika kubashiri.

Kwa mikeka iliyotathiminiwa kwa kiwango kikubwa wasiliana nasi haraka kwa namba

0658642362 WHATSAP TU

Karibu sana.

#Betting is not 100% guarantee, so stake what you afford to loose.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiachaba na mobile payments, hiz njia nyingine n gharama sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona na bet winner wameondoa option ya mobile paymet
Mimi pia ni muhanga tena kuna 11,000 sijui hata naitoaje
Fanya hivi
- Jisajiri na kamilisha utaratibu SKRILL
- Fanya deposit kupitia SKRILL
- Withdraw kupitia skrill

KUTOA FEDHA SKRILL
- Tafuta laini ya safaricom ( inashika mahala popote penye mtandao wa voda)
- Hamisha fedha toka skrill kuja safaricom, Na ndani ya dakika chache una fedha mkononi

- Kupitishia fedha safaricom ni njia mojawapo tu, bado kuna option zingine ambapo waweza pokea direct kwa tigo pesa / mpesa / airtel money.
 
Mkuu mlianza vizur kwa kutuvutia wateja kwa odds nzuri, lakini sahivi mmekuwa na odds za chini ukilinganisha na makampuni mengine hata option zenu zimepungua sana na ndio maana kwa sasa wateja tunakimbilia kwenye option za kumwaga
Mi mwenyewe ni mkamaria kwa hapo nakupinga mkuu ni nabet kampuni nyingi sanaa ila PrincessBet ndio inaongoza bado kwa odds kubwa kuliko kotee kama unaboshaa njo na njoo na timu moja wapo kwa kampuni yoyote nikulinganishie na huku PrincessBet ujionee mwenyewe[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Millionaire Tips

Tottenham Hotspur Win & Both Teams To Score
vs Wolverhampton

Watford Win & Both Teams To Score
vs Newcastle

Leeds Win & Both Teams To Score
vs Hull City

Norwich Win & Both Teams To Score
vs Derby

Sheffield United Win & Both Teams To Score
vs Blackburn

Swansea City to Win
vs Wigan

Rochdale Win & Both Teams To Score
vs Bradford

Burton Albion -1
vs Plymouth Argyle

Lincoln City Win & Both Teams To Score
at Cambridge United

Liverpool Win & Both Teams To Score
vs Arsenal
 
Huu ndio ujinga wa Basket kikapu kimoja kinakukosesha pesa.
See!
IMG_20181229_090405_218.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya hivi
- Jisajiri na kamilisha utaratibu SKRILL
- Fanya deposit kupitia SKRILL
- Withdraw kupitia skrill

KUTOA FEDHA SKRILL
- Tafuta laini ya safaricom ( inashika mahala popote penye mtandao wa voda)
- Hamisha fedha toka skrill kuja safaricom, Na ndani ya dakika chache una fedha mkononi

- Kupitishia fedha safaricom ni njia mojawapo tu, bado kuna option zingine ambapo waweza pokea direct kwa tigo pesa / mpesa / airtel money.
mwanangu nna account skrill ila siwaelewi wanafanyaje kazi nahis matapeli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwanangu nna account skrill ila siwaelewi wanafanyaje kazi nahis matapeli
Ondoa hiyo zana ya utapeli.
Wanatoa huduma ya kifedha
- Kutuma
- Kutoa
Kama ilivyo benki.

Tumia internet resources kujifunza zaidi.
 
Back
Top Bottom