Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Basketball ni mchezo wa ajabu sana siubetii tena *****

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba ligi ya China na NBA sio za kwendea pupa. Hizo wanatupiana vikapu balaa, ni nzuri ucheze option za over. Japan, Korea wajumuishe na wakina mama hao ni vzr ukawachezea under. Tena kwota moja hao wajapani na akina mama kuvusha 40 ni mziki. Vizia kwota ya pili tega under 40 mambo yatajipa kiulainiiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bet Pawa wanazingua Leo kuongeza salio
IMG_20181229_102411_565.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado naendelea kupokea Username mpya # INBOX Hadi tarehe 31.12.2018 Changamkieni mchongo huu wadau washtue na wana wajisjili. Pamoja
Boresheni interface yenu, kwanini hamuoneshi details/Status za michezo kama time na quaters halikadhalika points katika panel maalum. App yenu inaboaaa
 
Boresheni interface yenu, kwanini hamuoneshi details/Status za michezo kama time na quaters halikadhalika points katika panel maalum. App yenu inaboaaa
HII KITU KARIBIA LOCAL BETTING COMPANY ZOTE ZIKO HIVYO, ASANTE KWA KULIONA HILO MDAU.
 
Kampuni za betting za kibongo yingi zipo kiwiziwizi kwa option wanazoweka hawataki kuweka option kama ilivyo 1xbet ndio maana sasa tunapata tabu sana mobile option kuondolewa 1xbet fanya kurudi asee unazunguka karibia kampuni zote unakuta option chache na odds za ajabu ajabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa M-bet naanza kupata mashaka nao na Perfect 12, mbona watu wanakula kirahisi sana? Week moja, washindi wawili wa jackpot?
 
*[emoji736]LETS RISK LONG TICKET[emoji736]*
*{Today - 5th}*

_ACHA UVIVU, TAFUTA LINK MWENYEWE_ 🤣

Crystal Palace - Chelsea
Double Chance - FT (X2) 1.18

Newcastle United - Manchester United
Double Chance - FT (X2) 1.19

Chelsea - Southampton
1X2 - FT (1) 1.30

Cardiff City - Tottenham Hotspur
1X2 - FT (2) 1.42

Arsenal - Fulham
1X2 - FT (1) 1.28

Manchester United - Bournemouth
1X2 - FT (1) 1.40

Southampton - Manchester City
1X2 - FT (2) 1.30

Juventus - Sampdoria
1X2 - FT (1) 1.21

Napoli - Bologna
1X2 - FT (1) 1.24

Empoli - FC Internazionale
Double Chance - FT (X2) 1.11

Parma FC - AS Roma
Double Chance - FT (X2) 1.18

AC Milan - SPAL
Double Chance - FT (1X) 1.09

Villarreal CF - Real Madrid
Double Chance - FT (X2) 1.25

Braga - CS Maritimo
1X2 - FT (1) 1.27

Portimonense - Benfica
Double Chance - FT (X2) 1.12

Aves - FC Porto
1X2 - FT (2) 1.29

Tranmere - Tottenham Hotspur
1X2 - FT (2) 1.18

Manchester United - Reading
1X2 - FT (1) 1.12

Chelsea - Nottingham Forest
1X2 - FT (1) 1.16

Blackpool FC - Arsenal
1X2 - FT (2) 1.22

Odds: 55.49
Stake: 20,000
Potential winnings: 1,100098.13
100% win bonus: 1,100098.13
Payout: 2,210096.25

_ACHA UVIVU, TAFUTA LINK MWENYEWE_ 🤣


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom