Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Aiseee
IMG_20181229_114307_373.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ondoa hiyo zana ya utapeli.
Wanatoa huduma ya kifedha
- Kutuma
- Kutoa
Kama ilivyo benki.

Tumia internet resources kujifunza zaidi.
Kwa heshima uluyonayo mkuu hapa jukwani nikuombe kwa niaba ya wengineo utupe darasa hapa jukwani la namna skrill account inavyofanya kazi na je m pesa inaweza kuunganishwa na skrill? Tupe uzoefu baba ili watu turudi mzigoni kwa 1xbet.
 
Mi mwenyewe ni mkamaria kwa hapo nakupinga mkuu ni nabet kampuni nyingi sanaa ila PrincessBet ndio inaongoza bado kwa odds kubwa kuliko kotee kama unaboshaa njo na njoo na timu moja wapo kwa kampuni yoyote nikulinganishie na huku PrincessBet ujionee mwenyewe[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
hamna option princess Betpawa wamewaacha mbali sanaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu umakini na upembuzi wa hali ya juu unahitajika katika kubashiri.

Kwa mikeka iliyotathiminiwa kwa kiwango kikubwa wasiliana nasi haraka kwa namba

0658642362 WHATSAP TU

Karibu sana.

#Betting is not 100% guarantee, so stake what you afford to loose.



Sent using Jamii Forums mobile app
Mzinguaji sana huyu jamaa, kumbe unauza!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*'Leo tuna mikeka mitatu yenye odd 6 kila mmoja. Ukibeti nasi una uhakika mkubwa wa kushinda. 0658642362

[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*'Leo tuna mikeka mitatu yenye odd 6 kila mmoja. Ukibeti nasi una uhakika mkubwa wa kushinda. 0658642362 WHATSAP TU

[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom