Under 1.5 ni goli moja kushuka chini..... Over 1.5 ni kuanzia magoli mawili kwenda juu.
Pole sana Mkuu. Leo nimejitahidi kujiongoza mwenyewe mzee baba nimefanikiwa kupata ya chai hapa. Dah naanza kuikubal basket. Mpnga nje nje.
[emoji122][emoji122][emoji122] naona umeanza kuivaPole sana Mkuu. Leo nimejitahidi kujiongoza mwenyewe mzee baba nimefanikiwa kupata ya chai hapa. Dah naanza kuikubal basket. Mpnga nje nje.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kipupwe cha masika mkuuNaona jana yalitokea mafuriko ya kiangazi