Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu pole sana...Hiyo ungeweka kama QPR angekuwa nyumbani...All in all jana wengi leeds kawaua pamoja na spurs ambaye wengi walizoea kujichotea mpunga
ACHA KABISA LAKINI HIZI TIMU ZA PREMIER NA MAKAMPUNI YA KUBETI KUNA KITU HUWA WANAFANYA SIO BURE AISEE
 
Hili litakuwa ni suluhisho aisee lakini kutakuwa na ulazima wa kujisajiri kwanza na 1XBET ya Kenya Shilingi hii itakufanya kuhamisha pesa kwa urahisi kutoka safaricom Kenya kuja Vodacom Tanzania namaanisha M-PESA


Nipo Jiji la Arusha na nahitaji hiyo line hata kama ni leo,Kiongozi kama kuna mtu yeyote unayemjua naomba niunganishe naye nipate angalau leoleo,Mrusi namtamani sana
 
Nipo Jiji la Arusha na nahitaji hiyo line hata kama ni leo,Kiongozi kama kuna mtu yeyote unayemjua naomba niunganishe naye nipate angalau leoleo,Mrusi namtamani sana
Kiongozi kama uko karibu na Namanga jaribu kuulizia Namanga pale mpakani hawawezi kosa hizi laini, wakati huo huo na mimi huku nafanya mchakato wa kuzipata kupitia boda za jirani na Kenya najuwa kwa hili tutafanikiwa tu.
 
Hata hivyo alikuwa home
Screenshot_20181229_230524.png

Mkuu pole sana...Hiyo ungeweka kama QPR angekuwa nyumbani...All in all jana wengi leeds kawaua pamoja na spurs ambaye wengi walizoea kujichotea mpunga
 
Back
Top Bottom