kalemauji
JF-Expert Member
- Jun 24, 2014
- 1,629
- 1,845
ile mechi inatoa over 2.5 wala usiwe na hofu hapoNa jini man city nimecheza lipate goli mbili....
ile mechi inatoa over 2.5 wala usiwe na hofu hapoNa jini man city nimecheza lipate goli mbili....
Jamaa katoa direct win ukiangalia timu zinafuatana...Kwa Italy hiyo kitu usijaribu kabisa...Weka handicap biashara unaisha.SERIE B NI YA KIFALA SANA HUTAKIWI KUCHEZA DIRECT WIN KABISA YANI
Hiyo ya man city na Man u weka mpunga mnene over 1.5 Utapata hela ya kuanza wiki. Cheza hizo mbili tu over!ile mechi inatoa over 2.5 wala usiwe na hofu hapo
hapo cheza over 1.5, pamoja na hiyo bado kuna GG hapo inatokanyie mnaojifanya kumpa Chelsea au man city direct win hatutaki baadae mje mnatulilia humu!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana ila ukiangalia trend QPR siyo wa kuamini cheki msimamo ana masare kibao. Huyo uliweka bila kumchambua vizuri. Kwenye ishu ya sare hawapishani sana na Reding ingawa QPR yupo top sana! Weka handicap kwa man na man city urudishe mtaji wa janaHata hivyo alikuwa homeView attachment 981116
Hao wote wanashinda...Angalia records na msimamo kwenye table!nyie mnaojifanya kumpa Chelsea au man city direct win hatutaki baadae mje mnatulilia humu!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
tententent...mbona spurs alijamba jana au umesahauHao wote wanashinda...Angalia records na msimamo kwenye table!
Spurs alibweteka na record akajisahau ila hai wengine wanakaza maana huko nyuma hali ilikuwa mbaya na leo wana vibonde
Leo najua utapiga mpunga wa maanaNa jini man city nimecheza lipate goli mbili....
Kweli et? Bora umenipa moyo mana nimetengeneza mkeka wa tangu j5 had leo nasubrr man cty over na united winile mechi inatoa over 2.5 wala usiwe na hofu hapo
Pumbavu, kacheze unapocgezaga!PATA MIKEKA YENYE UHAKIKA MKUBWA WA USHINDI.
WASILIANA NASI KWA WHATSAP 0658642362
[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]
Sent using Jamii Forums mobile app
tuko pamoja hapo, wanasema sala za wengi zina uzito hizo game zote zinatoa tena mapema tuKweli et? Bora umenipa moyo mana nimetengeneza mkeka wa tangu j5 had leo nasubrr man cty over na united win
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah mkuu, kwa hiyo ww unajua matokeo halisi ya hizo teams za serie b mpaka useme nimeshapigwa...!??Hapo kwa ligi ya Italy umefumba macho au? Ushapigwa inaonekana huijui serie b vizuri!
😂😂😂😂😂 Unajipa moyo kwenye kamari mkuu?tuko pamoja hapo, wanasema sala za wengi zina uzito hizo game zote zinatoa tena mapema tu
hahahahahahahahahahah kibishi yani, ila yasije yakatokea ya Spurs jana kutukanwa na Dunia nzima😂😂😂😂😂 Unajipa moyo kwenye kamari mkuu?
We ni kima nini!! Kauzie wake zako mbupu wwPATA MIKEKA YENYE UHAKIKA MKUBWA WA USHINDI.
WASILIANA NASI KWA WHATSAP 0658642362
[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu Ana Kaz Sana minimeweka first half draw [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]