Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Pole sana ila ukiangalia trend QPR siyo wa kuamini cheki msimamo ana masare kibao. Huyo uliweka bila kumchambua vizuri. Kwenye ishu ya sare hawapishani sana na Reding ingawa QPR yupo top sana! Weka handicap kwa man na man city urudishe mtaji wa jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…