Daaah... Sikutegemea mechi ya Chelsea kutoa droo ya bila kufungana! Usiku wangu sio mzuri wadau.. Nahisi kufa kufa.Hayaa semeni wazee wa over 0.5,,1.5 chelsea anawasalimia...sjasahau wa win pia[emoji23][emoji23]!
Daah mechi ikiisha 0_0 inapita na wengi aisee!
Sent using Jamii Forums mobile app
kama hukufuata zimia kwanza halafu zinduka...tentententewakuu game la Huddersfield linasimamiwa na mike deen mzee red card au penalty...jamani halahala weka kati ya hizo option ule hela ya bure...nakusihi sana ndugu yangu kandu88
Hayaa semeni wazee wa over 0.5,,1.5 chelsea anawasalimia...sjasahau wa win pia[emoji23][emoji23]!
Daah mechi ikiisha 0_0 inapita na wengi aisee!
Sent using Jamii Forums mobile app
umepigwa ngapi mkuu...mwaga radhi mkuu..tehetehtehteDaaah... Sikutegemea mechi ya Chelsea kutoa droo ya bila kufungana! Usiku wangu sio mzuri wadau.. Nahisi kufa kufa.
Chelsea anakupa mkono wa. Mwakampya250000/= huku Chelsea kule Benifica
aisee pole mkuu .mi mwenyewe Chelsea over 1.5 na benfica dnb yameharibu250000/= huku Chelsea kule Benifica
Hakuna matokeo sipendi kama ya 0_0Chelsea win
West ham over 1.5
Man Utd win either half yes/away win or draw
Benfica over 1.5
Wolves over 0.5
Sent using Jamii Forums mobile app