KimMike
Member
- Sep 24, 2018
- 84
- 69
Utani utani inaweza ikatoa mkuu ๐๐๐๐๐๐
Utani utani inaweza ikatoa mkuu ๐๐๐๐๐๐
Halafu nahisi atashinda hii game,odds 2 za bure..wakuu game la Huddersfield linasimamiwa na mike deen mzee red card au penalty...jamani halahala weka kati ya hizo option ule hela ya bure...nakusihi sana ndugu yangu kandu88
Ngoja tuone.Leo ninamashaka na man U
wakuu game la Huddersfield linasimamiwa na mike deen mzee red card au penalty...jamani halahala weka kati ya hizo option ule hela ya bure...nakusihi sana ndugu yangu kandu88
Nimeipata Kyle nihatari ukichagua vzr mikeka 5 lazma Ata mitatu ikubali ama miwili
Sent using Jamii Forums mobile app
Duu aisee mkuu hebu naomba kama unaweza ntajie hilo jina la hyo App niichungulie
app gani hii broh
ngoja matokeo utaona nilichokwambiaIngekuwa inacheza aseno ningeweka penalt hata 3 zinatoka tu huyo na mwenzie oliver hawanaga hiyana ikicheza aseno against timu nyingine penat za bwelele tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo umetoboa mkuuChagua zako weka mamboView attachment 984160View attachment 984162View attachment 984163
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa washenz kwelikweli Yan dk 7 goli tatu wehu Sana Hawa sio ajabu iliwa planned away ashindeHapo ndio umeona imefika dk 75 wako 0-0 ukajilipua under balaa lake sio la nchi hii. View attachment 984196
Sent using Jamii Forums mobile app