Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
Tukutane hapa tar 4, Kama umepunguza mtaji ni wakati wa kuurudisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Unampa nani hapo??Tukutane hapa tar 4, Kama umepunguza mtaji ni wakati wa kuurudisha. View attachment 983976
Sent using Jamii Forums mobile app
*Home win 99%Unampa nani hapo??
haisumbui kwenye kupata wateja wa kuzinunua mkuu?
Wale wanaosubili kampuni ya 1xbet kwa kudiposit ujumbe wao huo apo
View attachment 984014
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukutane hapa tar 4, Kama umepunguza mtaji ni wakati wa kuurudisha. View attachment 983976
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikitika maana kauli zao ndizo hizo hizo kwanzia mwaka Jana nahisi wamezisev huzo kauli kufoad haraka kwa anaeuliza, na mm nlijibia hvyo!!!Wale wanaosubili kampuni ya 1xbet kwa kudiposit ujumbe wao huo apo
View attachment 984014
Sent using Jamii Forums mobile app
miezi mitatu sasa majibu ndio hayo hayoWale wanaosubili kampuni ya 1xbet kwa kudiposit ujumbe wao huo apo
View attachment 984014
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa wa 1xbet nilikuwa niachati nao on live nikawaambia kuwa kwa Tanzania tunashindwa kucheza kwenye kampuni yenu kwasababu hatuoni njia ya kudiposit hela munatusaidiaje? Hakaniji kuwa watalifanyia kaza hilo swala hivi kalibuni na tutaiona njia ambayo watakuwa wameiweka kwahiyo usihofu kiongonzi utainjoi hivi kalibuniJamani ombi langu kwa hawa waheshimiwa waliofanikiwa kuweka nakutoa pesa kwenye 1xbet kwa njia ya bitcoin nawaomba jamani mtusaidie kwaniaba ya wengine mmoja ajitolee kutusaidia wengine ambao tunahitaji aunde kundi la watsap tutajoin atume hata voice clip tutaelewa awake hapa link au namba tujiunge tujifunze huko naona itakua njia nyepesi sijui mnasemaje wenzangu....!
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio umechat nao leo kwa mara ya kwanza mkuu? Watu tushachat nao miezi kibao majibu yao ndio hayo hayo kila sikuJamaa wa 1xbet nilikuwa niachati nao on live nikawaambia kuwa kwa Tanzania tunashindwa kucheza kwenye kampuni yenu kwasababu hatuoni njia ya kudiposit hela munatusaidiaje? Hakaniji kuwa watalifanyia kaza hilo swala hivi kalibuni na tutaiona njia ambayo watakuwa wameiweka kwahiyo usihofu kiongonzi utainjoi hivi kalibuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tusubiri lakini wakati tunasubiri mkuu aliyefanikiwa kwa njia ya bitcoin atusaidie, pia huenda njia hiyo ikawa nzuri maana Kama uwezekana wa kuweka na kutoa utafahamika nahisi hatutakuwa na haja ya kusubiri mobile payment wazee,nahisi Kama pesa znanipita vileJamaa wa 1xbet nilikuwa niachati nao on live nikawaambia kuwa kwa Tanzania tunashindwa kucheza kwenye kampuni yenu kwasababu hatuoni njia ya kudiposit hela munatusaidiaje? Hakaniji kuwa watalifanyia kaza hilo swala hivi kalibuni na tutaiona njia ambayo watakuwa wameiweka kwahiyo usihofu kiongonzi utainjoi hivi kalibuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh! Mimi Jana nilishindwa kutumia hiyo njia ya bitcoin labda atoe elimu ya kutosha ili tumuelewaeAcha tusubiri lakini wakati tunasubiri mkuu aliyefanikiwa kwa njia ya bitcoin atusaidie, pia huenda njia hiyo ikawa nzuri maana Kama uwezekana wa kuweka na kutoa utafahamika nahisi hatutakuwa na haja ya kusubiri mobile payment wazee,nahisi Kama pesa znanipita vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekuwa safi tuufanye huu mwaka kuwa mwepesi kidogoMh! Mimi Jana nilishindwa kutumia hiyo njia ya bitcoin labda atoe elimu ya kutosha ili tumuelewae
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikweli betting ukitulia ni zaidi ya biashara Ila ukiwa na tamaa bwana weee itakula kwakooo dah! Ila nilivyo waona waha 1xbet mh! Ni hatali option mpaka basi ushindwe mwenyew