Kandu88
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 742
- 840
Huku ni wasumbufu kwel huwa naweka vistake vidogovidogo tu kama training.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mahaba niue hahahaaaaahChelsea chama lngu weka over 0.5
Mimi huwa nachungulia flashscore then narudi kwny browser ni chap tuhiyo ni kweli imekuwa ni changamoto kwa hizi local betting compay, lakini kama una PC hili halishindikani kinachotakiwa unafungua browser mbili moja unaingia kwa betpawa na nyingine unaitumia kwa kuangalizia ile trend ya point inavyoenda kwa quarter
Unazitoa kwenye visa. Card au master card then unapeleka Skrill baada ya happy ndo 1xbet
Master card ya nmb itafaa?Unazitoa kwenye visa. Card au master card then unapeleka Skrill baada ya happy ndo 1xbet
Sent using Jamii Forums mobile app
noma nimeliwa vibaya mnoHizi timu za kipuzi Sana huwaga wanajifanya wako taratibu uki place under tu kosa View attachment 983689
Sent using Jamii Forums mobile app
acha kabisa mzee baba